Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni. Pia...
21 Reactions
167 Replies
3K Views
Maajabu yaliyowahi kuwakumba wasabato kuwashangaa wasabato waliotaka kusafiri bila paspoti kwenda ulaya na Marekani yawakumba Wakatoliki kuwashangaa Wakatoliki waliokaa kimya wakati viongozi wao...
7 Reactions
7 Replies
262 Views
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake...
1 Reactions
12 Replies
667 Views
Tuko pabaya, kama kweli serikali itawanyamazia hawa wahuni, kuna vita ya dini inapikwa! Simbachawene , IGP na Mulilo, wajibikeni kukemea hili
6 Reactions
10 Replies
308 Views
𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗠𝗔π—₯π—œπ—” π—‘π—¬π—˜π—₯π—˜π—₯π—˜ π—”π—£π—’π—žπ—˜π—” π—‘π—œπ—¦π—›π—”π—‘π—œ 𝗬𝗔 𝗕𝗔𝗕𝗔 π—ͺ𝗔 π—§π—”π—œπ—™π—” Mjane wa Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Maria Nyerere amepokea nishani ya heshima kutoka Jamhuri...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
  • Redirect
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti...
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji...
0 Reactions
15 Replies
349 Views
Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka MedellΓ­n, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake...
2 Reactions
1 Replies
462 Views
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi...
13 Reactions
188 Replies
7K Views
Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo! Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo! Kuwa macho na walioandaa ujinga huo...
11 Reactions
25 Replies
541 Views
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Twitter (X) itafunguliwa pale ambapo tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania.
0 Reactions
15 Replies
416 Views
Kuna wakati Mkapa alikuwa akiwaponda sana waandishi wa habari,kwamba hawako professional. Sasa unapochukua gazeti na ukasoma makala kama hizi utaona kwamba Mkapa alikuwa right kuhusu asilimia...
8 Reactions
9 Replies
338 Views
Maduro ni kama vile ana undugu na Samia, maana tunapita mulemule. Ni kama Mungu anatonyesha ya mbele na kututaka tuchukue hatua haraka ili tusije kuharibikiwa kama wao. Wananchi kuanza kumwomba...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani. Raia yeyote wa Marekani akishikwa au kushitakiwa nchi nyingine kwa utamaduni wa marekani ni swala la kitaifa sio tena swala...
3 Reactions
1 Replies
182 Views
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!! Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwanza nianze kueleleza kidogo Malengo ya No Reforms No Election. Huu mpango Mtukufu wa Chadema una lengo la kuchochea haki na kuzuia dhuluma pamoja na vurugu ikiwemo na mauaji yatokanayo na...
37 Reactions
175 Replies
7K Views
Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa...
7 Reactions
14 Replies
398 Views
Hata mtu kipofu anaona kabisa Tanzania imebadilika na inazidi kubadilika kuelekea kubaya zaidi siku hadi siku. Muungano unazidi kuporomoka kukiwa na viashiria vinavyokua vya u-Bara - na U-Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…