Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:
Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha...
Wanabodi
Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na...
Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani.
Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee.
Yule jamaa wa Baharini. Mzee...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya...
Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na...
Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi.
Ccm na Masheikh walikuwa upande wa amani
TEC, Watanzania na baadhi ya Masheikh wema hasa kina Ponda (shura ) walikuwa upande wa haki
Sasa Leo...
Tumekuwa tukipigiwa kelele sana na watawala wa CCM na vibaraka na machawa wao kuwa HAKI sio priority namba moja dhidi ya AMANI (yaani ukondoo).
Lakini Mungu January hii ameamua kutufumbua kwa...
Namna tulivyochezeshwa leo, itoshe tu kusema, AFCON ni umepigwa mwingi,
Refarii mpaka waliokuwa VAR, Lao lilikuwa moja tu
Haiwezekani ligi hiyo inajisiwe, wakaamua kusuka harakati za lazima...
Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao...
Katika miezi ya hivi karibuni baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu ulofanyika tarehe 29 Octoba mwaka jana bado kumekuwepo na hali ya sintofahamu pale ambapo watu wapotea tu mitaani na vitongojini...
Niseme kwamba sijapendezwa na wachezaji wa Tanzania pamoja na benchi la ufundi kutaka kuvunja Amani
Refa kachezesha kwa Amani wanataka nini tena?
Kuandamana, kwa lipi? Eti kudai haki, haki...
Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya...
MADHARA YA KUMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA KULIKOFANYIKA KTK NCHI YETU
Baadhi ya Nukuu ktk hotuba hii:
Askofu Gwajima: "...Haiwezekani unamuona mama mmoja anaenda shambani au kwenye shughuli zake...
Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.