Prof Issa Shivji ameandika makala muhimu sana ambayo kwangu mimi ninaiona kama ni Lecture kwa wanafunzi wa sheria.
Amezungumzia masuala ya msingi sana namna mtu anavyopaswa kukamatwa kushitakiwa...
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya...
Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
DPP sasa ana option ya Kuichomoa kesi kwa kutumia kifungu cha 91 cha Sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai lakini kifungu hiki hakitoi kinga kwa mshitakiwa kukamatwa tena na kufunguliwa kesi ile...
Gazeti jipya kabisa la Kiswahili linatarajiwa kuingia katika vibanda, maofisi, na mitaa ya Tanzania kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu. Jarida hilo la "Raia Mwema" litakuwa na habari mbalimbali...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, John Heche, akizungumz na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Julai 28, 2026, amesema Matatizo mengi ya jamii kama shida ya maji na Elimu bora...
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania...
Napendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi.
Kwa mara nyingine tena, serikali...
Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti...
Hivi CCM wanapochagua watu wao ,Huwa wanaagalia Uwezo wa kubwabwaja ??
Kidumee cha chama, Mama oyeeee, Mama añaupiga....
Sasa haka kajama ka Paul Chacha, Kalikochaguliwà Ukaribu Oganizesheni ...
Mimi huu ndio ushauri wangu kwasababu tabu na mateso anayopitia ni kwasababu yetu, watoto wetu, wajukuu zetu na hata vitukuu vyetu.
Tukumbuke alishapigwa risasi na leo yuko jela zaidi ya mwaka na...
Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande...
Sio kwamba CCM kimepoteza imani kwa wananchi kwa kiasi hiki la khasha
CCM kimebweteka baada ya kujitoa kwenye chama cha siasa na kuwa chama cha kidola
Tunaihitaji CCM inayopenda...
Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale.
Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR...
Tusipokuwa makini itakuwa kila baada ya uchaguzi tunafanya maridhiano
Mfano mwaka huu 2026 tupo kwenye maridhiano na itakuwa hivyo hivyo mwaka 2031 tutafanya tena maridhiano na itakuwa mwaka 2036...
Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni...
Niliwai kiwadokeza hapa members sita ambao Rais anafuatulia michango yao, ila sikutaja ID zao ila 4 walikuwa wanampinga sana na alikuwa anaandika sehemu anachosoma 2021-2023, wawili ni wale...
Jana Mahakama imetoa ushindi kwa LISU. Kumekuwa na nderemo na vifijo kwa hukumu hiyo.
Kwangu mimi sina la kushangilia, bado Mahakama ni tawi la serikali linapokea maagizo ya serikali...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema maridhiano ya kisiasa hayawezi kufanikiwa bila kuwepo kwa ukweli na uwajibikaji kuhusu matukio ya kisiasa yaliyotokea nchini.
Amesema hatua ya...