Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wazi na ukweli kuwa tarehe 29 Oktoba 2025 itakumbukwa milele kama siku ambayo Watanganyika kwa mamia waliuawa kikatili na utawala wa Samia Suluhu Hassan! Kwa siku tano mfululizo Watanganyika...
1 Reactions
6 Replies
287 Views
Visiwa vya Zanzibar, ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vimekumbwa na mdororo mkubwa wa watalii takribani mwezi mmoja baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu uliogubikwa na matukio...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama...
2 Reactions
7 Replies
310 Views
Aminini nawaambieni. Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao. Na zaidi mtauona umuhimu...
4 Reactions
2 Replies
232 Views
  • Featured
Naomba waliosoma uandishi wa habari kama Msigwa mtuelezee hapa anamaanisha nini:BBRUHH:
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji baada ya uchaguzi na kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini Tanzania, ikijumuisha kesi ya kiongozi wa upinzani aliye kifungoni Tundu Lissu Bunge la...
79 Reactions
197 Replies
7K Views
“Wanawaambia chomeni nchi yenu, chomeni barabara, chomeni na hospitali. Mkishamaliza kuchoma hospitali anaugua mtoto wako, hospitali ilishachomwa moto, -yeye na watoto wake wako na hospitali...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kweli Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi...
2 Reactions
26 Replies
736 Views
TAARIFA KWA UMMA Polisi wa Tanzania wanawaonya wananchi wote kuepuka kutoka nje wakiwa katika vikundi au peke yao baada ya saa kumi na mbili jioni (6:00 PM) kuanzia tarehe 05 Desemba 2025...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Napata wasiwasi kama hili ni Kwa ajili ya wananchi au lipo Kwa ajili ya mafisadi Leo bunge la Ulaya litaketi kujadili mauaji ya halaiki TANZANIA ila Bunge letu lipo kimya wanakula posho 1. Spika...
4 Reactions
14 Replies
505 Views
Hii nchi kuna shida ila wacha wakome maana shida ya watu weusi ukijipendekeza kama inakuwa kero kwao wakati wanashida ya kusaidiwa. Watanzania tuna shida sana kwenye maisha ya hawa ccm akili...
3 Reactions
6 Replies
323 Views
KKKT nao wamefuta utoaji wa kipaimara uliokuwa ufanyike tarehe 8D. Serikali pia imefuta sherehe za uhuru zilizokuwa zifanyike tarehe 9D Mpo mpk hapo ? Yote haya yanafanyika ili kukwepa kishindo...
20 Reactions
47 Replies
2K Views
Alipingana na ufisadi. Upendeleo wa kifamilia na kisiasa. Hakuna aliyejua juu ya habari ya watoto wake na familia yake. Alipenda kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma. Wananchi walimpenda...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Mmesaliti wananchi mwategemea tusiwasaliti. Nye hamnazo walahi. Mwatoa mawaidha tuheshimu viapo nyie mwaheshimu vyenu? Mwatuona punguani sivyo. Heee! Siye punguani wenye akili Nyie. Msaliti Nchi...
8 Reactions
14 Replies
702 Views
Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnaishia kujiumauma guys, guys, guys. Mungu yupo
4 Reactions
1 Replies
153 Views
Makamu wa Rais mstaafu ndugu Philip Mpango aliona mbali sana , kwa hofu ya Mungu na maono aliyopata akaona ni heri apumzike kuliko kushiriki dhambi ambazo zingekuja kumtesa yeye na kizazi chake...
8 Reactions
13 Replies
405 Views
Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake. Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
2 Reactions
25 Replies
943 Views
Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo...
3 Reactions
5 Replies
526 Views
Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa...
2 Reactions
1 Replies
214 Views
Back
Top Bottom