Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ameagiza TAKUKURU kufanya uchunguzi kufuatia Serikali...
1 Reactions
2 Replies
192 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
2 Reactions
4 Replies
193 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 uliopo Manispaa ya Mpanda. Pia, Dkt. Mwigulu ameweka...
2 Reactions
1 Replies
190 Views
Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la MwanaHALISI la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya...
12 Reactions
282 Replies
34K Views
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika. Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu. Kama kuna ajira 1000...
6 Reactions
59 Replies
773 Views
  • Redirect
Mwigulu unaejifanya mzalendo uoni aibu home boy wako Tundu antipas Mugwai lissu yupo jela sasa unaenda mwaka sasa kwa kesi za uongo. Unapata wapi nguvu za...
1 Reactions
– Replies
– Views
WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa...
2 Reactions
4 Replies
249 Views
Siku Tanzania ilipoamua kuwa yoyote anaweza kulelewa na baadae kupewa uongozi halafu akili atazipata huko huko katika uongozi, ndiyo siku tuliyoanguka kama taifa. Mfumo wa nchi na wananchi kwa...
8 Reactions
23 Replies
418 Views
Hii nchi tumepitia mengi sana aisee 😂 :::::::::::::::;;;;;;;;;:::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa...
3 Reactions
7 Replies
488 Views
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya...
1 Reactions
4 Replies
257 Views
TANZANIA NA UGANDA ZASAINI MAKUBALIANO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI RELI YA SGR Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimeendelea kuimarisha...
2 Reactions
7 Replies
345 Views
Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Biniam Solomon, mchoraji katuni maarufu wa kejeli nchini Eritrea anayejulikana kwa jina la usanii Cobra, ameachiwa huru baada ya kukaa kizuizini kwa miaka 15 bila kufikishwa mahakamani. Solomon...
4 Reactions
5 Replies
341 Views
Tarehe 11/02/2026 Chadema itakuwa na Kesi 3 Mahakama kuu. Kesho tarehe 11/02/2026 Mahakama kuu, Kanda ya Dar es salaam inatajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa...
10 Reactions
9 Replies
639 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja...
1 Reactions
9 Replies
301 Views
Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu...
0 Reactions
4 Replies
190 Views
Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya...
1 Reactions
9 Replies
377 Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema kuliko kuruhusu Kamari ni Bora tungeruhusu Bangi kwa Sababu ina faida nyingi kiafya Dr Kigwangala alikuwa anatoa Mjadala wa Kuelimisha Jamii...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili. Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…