Kuna mtu makini sina shaka nae anasema waliotaka kumtoa uhai Lissu ni wale team mtandao walitumia chance ya kutokuelewana kwa Magufuli na Lissu wakataka kumtoa uhai Lissu wapate nafasi ya...
Wakuu,
Akizungumza Machi 13 2026 na watendaji wa Serikali mkoani Arusha Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Toba Nguvila amepiga marufuku wenyeviti wa mitaa na wenyeviti wa vijiji kutomiliki mihuri...
Serikali ya Zanzibar imetangaza mpango wa kuanza kununua mchanga kutoka Tanzania Bara kwa ajili ya kutumika katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa visiwani humo.
Kauli...
Habari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo...
"Kwa uamuzi wenu siyo tu kwa kuniunga mkono, walioniunga mkono ni wengi, lakini kwa kitendo chenu cha kuniunga mkono waziwazi na hamkuficha. Mie ni mkristo na naungwa mkono na vongozi wangu wa...
Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:
"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni...
Hapa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyohivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo...
Nipo kwenye ziara ya Waziri wa AFYA - Mh. Mohammed Mchengerwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala muda huu saa 7 Mchana.
Katika ziara hii, Katibu Mkuu - Wizara ya Afya kamkaribisha...
Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa.
Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni...
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).
Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, Leo Machi 04, 2026 akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, ametoa maelekezo kwa mamlaka husika kumfukuza kazi muuguzi wa mkoani...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA KAGWIRA – KAREMA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya Kagwira – Karema (kilometa 112)...
Hello
Hayati Magufuli alijua kukonga nyoyo za watanzania na alikuwa mtanzania halisi.
Angalia video hii ya MB 8 mpaka mwisho uone bi fatuma mohamedi mama ntilie alivyopigwa butwaa la furaha.
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kesi mbili (2) tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kuhusu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
Wakuu nianze na kisa kifupi kidogo.
Juzi nilikuwa katika mizunguuko kwenye miongini mwa masoko nikitafuta baadhi ya mahitaji. Ghafla niliona maafisa watatu wakiwa na silaka za moto.
Nikamuuliza...
Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200...
Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait...
Hivi siku hizi Tangu waingie madarakani kuna Uhuru kweli wa maoni?
Maana ukiisema Serikali Mama Mkwe naye anakuja na vijembe, huku Mkwe nae anakuja na maelekezo usisahau kuna Swaiba wa Mama...