Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajishughulisha na nini kwa sasa baada ya kuachana na masuala ya kisiasa na kua kituo cha mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu? Na je, shughuli zao hizo za...
0 Reactions
19 Replies
286 Views
Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda...
3 Reactions
9 Replies
521 Views
Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa...
8 Reactions
180 Replies
51K Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla...
1 Reactions
25 Replies
570 Views
  • Featured
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam Shehe...
26 Reactions
133 Replies
7K Views
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia 2. Jeshi kwa jeshi...
4 Reactions
4 Replies
242 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama Taifa tunachohitaji ni maendeleo pekee na ustawi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla wake. Tunachohitaji ni kuona miundombinu ya barabara ikijengwa,huduma bora za afya...
1 Reactions
19 Replies
419 Views
  • Redirect
Tafakari kisha chukua hatua. Mada hii nimeileta ili kuwacheka wapinzani wanaomshangilia Kasimu Majaliwa wakijifariji kuwa Majaliwa kajitenga na CCM ya mafefhuli .. Majaliwa yupo CCM mpaka umauti...
0 Reactions
– Replies
– Views
-Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku...
1 Reactions
5 Replies
328 Views
CCM ni alama ya Utanzania wetu. CCM ni alama ya uzalendo CCM ni alama ya Uafrica. CCM ni maisha yetu ya Kila siku KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu...
0 Reactions
11 Replies
217 Views
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per...
86 Reactions
198 Replies
17K Views
Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye...
6 Reactions
9 Replies
542 Views
  • Redirect
Mamlaka zitoke ziseme balozi Polepole yuko wapi wana CCM mmekua wanafiki wakupitiliza katibu mwenezi balozi Polepole anapotea kama kuku tuanze na Maridhiano ya ndani ya Chama kwa kutueleza...
0 Reactions
– Replies
– Views
Baada ya upotoshaji mwingi wa je ni kweli Bwana Civilian Coin ameachiwa na Mahakama au kamaliza kifungo, meza yetu imepambana mpaka ikapata nyaraka kutoka kwa wadau wetu. Kama hapa zinavyosomeka...
3 Reactions
3 Replies
375 Views
1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
4 Reactions
23 Replies
440 Views
NUKUU ZA WAZIRI MKUU Serikali yenu haitakuwa na mzaha, hata kidogo, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo. 📍RUKWA-TANZANIA 🗓️MACHI, 2026
0 Reactions
5 Replies
157 Views
Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment...
5 Reactions
15 Replies
452 Views
Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani? Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar? Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd Lakini wao wanasema mpaka kesho...
4 Reactions
25 Replies
529 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Anafanya Kazi ya kitume ,kazi yenye Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu,Kazi impendezayo Mwenyezi Mungu,Kazi yenye Kugusa Maisha ya Watu ,kazi yenye...
1 Reactions
24 Replies
438 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…