Habari Picha: Winfrida Charles Malembeka, ni graduate wa Chuo Kikuu cha Mzumbe
amehitimu masomo yake Novemba 2025.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linapenda kutoa ufafanuzi juu ya...
Document ya kiswahili lakini imejaa maneno ya kiingereza; na ikumbukwe huyu Waziri alihojiwa na BBC kiingereza kibovu kama cha nywinywinywi
Document ya Wizara lakini menyewe yanadai ni...
GT
Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya.
M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye...
Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo.
Wananchi hao wameeleza...
Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni...
Ain’t no way. Ain’t no fcuking way!
Napinga kabisa kwa nguvu zangu zote na kwa dhati kabisa kufanya maridhiano na wauaji wa makusudi.
Hakuna cha kusameheana wala kuombana msamaha.
As far as I’m...
Wakuu
Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya...
Haitachekesha! Wanajambo Lao kabla ya D9. Twajua hawalindwi na malaika. Redcross nao wasema watasaidia kulipa kisasi.
Zingatieni hutuba ya Agustino. Imalisheni ulinzi wenyu. Huko mabarabarani...
Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi.
Lengo la kukusanya pesa hizo ni...
Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9...
Salut kwenu waungwana wa JF.
Homa ya tarehe 9 december inazidi kupanda, joto limekuwa Kali sana mpaka kufikia hatua ya shughuli mbalimbali za kijamii na kiserikali kusitishwa. Hapa chini ni...
Ridhiwani Kikwete umesema vyema kabisa, na sisi tumekuelewa. Ujumbe huu wapelekee pia mabosi wako, Samia Suluhu Hassan na Mwigulu Nchemba ambao hadi sasa wanatuona watanzania ni mazuzu, kwamba...
KI VIPI MSEMAJI WA SERIKALI GERSON MSIGWA NI FIELD JOURNALIST? AU FIELD MARSHALL JOURNALIST?
Kwa testimonies zake baada kumaliza sekondari alifanya biashara kuuza mahindi na duka Songea
Alianza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini...
Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.