Wanabodi
Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na...
Pamoja na Mambo mengine kwenye hizi kesi nyingi za uongo wanazopewa Viongozi wa Chadema, huwa pia tunaangalia Wahudhuriaji, wale waliofika kusikiliza kesi husika.
Na kwa kadiri ya Kumbukumbu...
'Wiki ijayo, Kenya itazindua ujenzi wa mtambo mkuu wa kusafisha mafuta ya petroli, dizeli, ya ndege nk huko Lamu, utakaosafisha mapipa 700,000 kwa siku. Huu utakuwa mtambo wa pili mkubwa zaidi...
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi...
Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, katika Makao Makuu ya Umoja...
Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!!
Ova
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza Serikali ya Qatar kwa kufanikiwa kuwa na matumizi makubwa ya teknolojia kwenye usafiri wa umma na hasa matumizi ya nishati safi.
Ametoa pongezi hizo...
Nashangaa sana watu kujifanya hamnazo kura ya rais inaenda na makamu wake kwa ule ushindi wa kishindo kuchaguliwa na wananchi milioni 31 na kupata 98% tunaweza kusema kwenye huo ushindi wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche, akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026, amejibu kauli ya Mwenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi...
Lissu, kwa nyakati tofauti, alikuwa anaeleza mahakamani mambo ambavyo sio ya haki aliokuwa anafanyiwa gerezani Ukonga kama vile kuwekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa, kunyimwa privacy...
Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao na kupata viongozi wao
Hata hivyo, kuna jambo ambalo...
Guys, the game is planned, baada ya kipindi kifupi atarudishwa kundini, muda si mrefu ataibuka hadharani.
Mtashangilia sana kuonekana kwake, ni kweli kule kisiwani hawamtaki ila mabwenyenye wa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu...
Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii.
Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia.
Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025...