Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,807
Reaction score
50,455
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
 
Aisee....
Tukisema ccM na Tiss wamekosa think tanks, kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wanabisha.
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.💪🏿🔥
 
Tlaatlaah mwanzoni nilijua ni robot kumbe ni akaunti ya ofisi pale Lumumba.

Wataalamu wametueleza hakuna mtu anayeweza kuwa mtandaoni 24/7. Kwa ivo Tlaatlaah ni timu na siyo mtu.

Huyu Lucas Mwashambwa kwanza aliambiwa na johnthebaptist kuwa hilo jina siyo lake na hakubisha. Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba.
huna haja ya kupotosha wadau wa Jf kwa porojo nonsense kama hizo gentleman.

kwamfano,
wakati unashuhudia hiyo nonsense ya 24/7 online, wewe unakua offline kinafiki, right?

au JF hua inazimwa nyakati fulani?

kwanini unawafanya wafuata mkumbo wenzako malofa kiasi hicho gentleman? huo ni uonevu wa kisaikolojia. Acha mara moja plz 🐒
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Utaratibu wa heche unajulikana wazi kabisa gentleman. Lema na Sugu wanajua mwanzo wa ufisadi wa heche hadi mwisho.

Kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 mbivu na mbichi zitabainishwa humo, hakuna haja ya kuweweseke wala mchecheto wa mapema.🐒

R.I.P Suez Daniel Maradufu
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Dah! Haya yangelikuwa maswali kazuri, kinoko ya dodoso i.e cross examination mbele ya majaji ingependeza! Hongera for this formulation
 
Million 600 mtu ajiuzulu wkt nchi hii kuna majizi yamekula mabillion ya pesa eti watajwa waone aibu
Heche hawezi kuondoka otherwise mmue kama wananchi tumechanga sisi wewe kinakuuma nini?
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Imagine eti hizi ndo akili na juhudi za vyombo propaganda vya dola kuua chadema. No wonder Tanzania imedumaa kimaendeleo
 
Back
Top Bottom