Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi.
Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa...
Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau!
Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa...
https://youtu.be/DQve6MgYYtU?si=gSHWEMj76INC8rxZ
Hatimaye tutamuona tena....!!
Baba Mungu wa mbinguni katika Yesu Kristo kampa Green Light ya kutoka na kuzungumza tena na Watanzania na ulimwengu...
Hamjambo wote!
1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema amani ya kweli katika taifa haiwezi kupatikana kwa nguvu za kijeshi, silaha au ulinzi mkali, bali hupatikana pale...
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya, kila mmoja kwa imani yake .
Rejea kichwa cha habari hapo juu,
Yeyote ambae anasema kwamba huu mwaka sio wa haki ajitokeze kwa hoja na atajibiwa.
Huu...
Taasisi ya Mo Ibrahim imetoa kauli kali dhidi ya hatua za serikali ya Tanzania kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025, ikionya kuwa nchi hiyo inarejea katika mwenendo...
Leo Januari 2, 2026, Jamhuri imebadilisha mashitaka ya kesi ya Uhaini Na. 26596/2025 dhidi ya Yohana Rugembe Kaunya na wenzake 20. Wamefunguliwa kesi yenye makosa 9 yakiwemo wizi wa kutumia...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema Taifa limepitia mwaka wenye majonzi makubwa uliodhihirisha kupotea kwa mwelekeo wa maadili na mshikamano wa kijamii...
Chuki kwa viongozi ni matokeo ya maandalizi finyu ya wazazi wetu, either wazazi wetu walikataa shule wakashindwa kusoma na kupata ajira wakati wa Mwinyi au wazazi wetu ni wale ambao walikuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza kuchukua hatua za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kujenga na...
Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero...
Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua...
Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda...
Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.
Hivi...
Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi.
Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama...
Hajambo wote!
1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia.
2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma...
Kataa wahuni.
1. Maridhiano ni tume ya uchaguzi itakayokua inatenda haki na ikiongozwa na wtu wenye akili timamu sio makada wa mbogamboga
2. Wahuni walio kwapua madaraka kwa hila waachie ngazi...
Wakuu, Nimepokea Taarifa za Uhakika kabisa kwamba Mwandishi Jackton Manyerere hapa alipo anaendeleaje kupokea Simu za vitisho kuhusu Kukamatwa ,Kutekwa au Kuuawa .
Kwa Wasiomjua Jackton...
Ndugu zangu,
Ni heri ya Lowassa na Kingunge kulikoni Sumaye. Nilibaki nikimshangaa Sumaye aliposimama majukwaani na kuiponda CCM huku akilaumu pia Katiba inayovikandamiza vyama pinzani.
Katika...