Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Heshima kwenu wakuu, Kabla ya haya Mauaji ya Kibiti na Mkuranga, hawa Magaidi walisema "Tunataka roho za Maaskari watano, Masikio yenu yatasikia na Macho yenu yataona". Ni kweli sasa tunasikia na...
22 Reactions
173 Replies
20K Views
Unapoona watu wanaanza kampeni za mapema kabla ya wakati unapaswa ujiulize wana hofia nini na zaidi hofuu hii inatokana na nini. Kwanza walipoingia tu madarakani wakapiga marufuku mikutano yote...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Redirect
Ndugu wana Jamvi Nina kilasababu kumshukuru mwenyeji mungu mwingi Wa rehema kwa kutupatia Raisi wa Tanzania JPM. Ndugu zangu JPM wote kwa pamoja tumeona vile anavopinga ufisadi, Utumiaji mbaya...
3 Reactions
Replies
Views
Kama unakumbuka hoja hizi jazia na za kwako (1)kupambana na ombaomba (2)kupambana na mashoga (3)kupambana na changudoa (4)kupambana na madawa ya kulevya (5)kutoa zawai ya gari kila mwezi kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekashangwazwa na tuhuma za uongo zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe za kuhamisha fedha...
15 Reactions
162 Replies
24K Views
DAR ES SALAAM: Mwanasiasa Edward Lowassa awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, ulinzi waimarishwa. Anatuhumiwa kutoa kauli za kichochezi. Aidha katika viunga vya ofisi hizo Ulinzi umeimarishwa...
2 Reactions
70 Replies
9K Views
  • Redirect
Tumeona Leo rais wa tff na katibu wake wamepanda kizimbani pia tukashuhudia rais wa simba na makamu wake wakipanda kizimbani.vipi wale wa vijisenti na hela za mboga MBNA wanapeta tu uraiani????
0 Reactions
Replies
Views
Wadau, amani iwe kwenu. Baada ya Mzee Mwinyi kutoa maoni yake kuwa kama isingekuwa ni Matakwa ya kikatiba, angependa Rais Magufuli awe Rais wa muda wote, kuna povu jingi linawatoka viongozi na...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Tukisema ccm haipo kwa ajili ya mtanzania ndio ukweli kabisa. Kwa sababu miswada ya dharura ndio imetufikisha hapa tulipo namakinikia. Lakini bado wanarudia makosa yaleyale ya kina Mangungo na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najua Dodoma-Dar-dodoma ni mamia ya lita, posho za kulala hotel kwa mawaziri,dereva,wasaidizi Wakila chips ndio umeokoa gharama?
8 Reactions
57 Replies
5K Views
  • Redirect
Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kauli za kichochezi na zakidini zilizofanywa na mmoja kati ya mwanasiasa nchini, zenye lengo la kuwafitinisha watanzania. - Katibu wa itikadi na uenezi wa chama...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
"Ninajiuzulu nafasi yangu ili niweze kumuunga mkono Rais Magufuli katika utendaji wake,dhamira inanisuta kuwa katika kundi linalopinga kila kitu" alisema Mhe Credo. Source;Clouds fm radio.
2 Reactions
Replies
Views
Unapopota mpunga huo hakikisha unajijenga kiuchumi kwa kuanzisha miradi yako kwani kisiasa ndio umeshamalizwa. Ukirudi kwenye siasa utagarazwa kwa nafasi yoyote utakayothubutu kugombea. pia...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametakiwa kuripoti ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kesho saa nne asubuhi bila kukosa. ======== CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO...
21 Reactions
484 Replies
67K Views
Prof. John L. Thornton ambaye alisafiri kwa ndege binafsi kutoka nchini Canada hadi Tanzania na kukutana na Mhe. Rais Magufuli Juni 14, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam na mazungumzo yao...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Wabunge Halima Mdee wa Jimbo la Kawe na Ester Bulaya wa Bunda Mjini wamejikuta wakiangukiwa na adhabu ya Bunge kwa kile kinachodaiwa kudharau mamlaka ya Spika, na sasa watalazimika kuwepo nje ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni wakati sahihi kwa Waziri wa Mambo ya ndani,ndugu Lameck Mwigulu Nchemba kuachia ngazi na kuwaachia wengine nafasi hiyo. Mauwaji ya Kibiti na Rufiji kwa ujumla wake,na katika mfufululizo usio...
22 Reactions
110 Replies
9K Views
Salaam wana jukwaa wenzangu Moja kwa moja niende kwenye maada Sote tunajua pamoja na matamko na ushauri mbalimbali wa wanasiasa pamoja na wasomi wengine kuhusu wanataaluna hasa vijana kujiajiri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Mkuu wa mkoa Aeusha Mrisho Gambo anatuhumiwa kuwarubuni madiwani kadhaa wanaoachia ngazi akiwemo diwani Credo Kifukwe wa kata ya Muriet jiji Arusha aliyetangaza kuachana na chadema akidai anaunga...
4 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom