Ccm ya ajabu yaani Polepole katoka ili kuficha mikataba mibovu ya maliasili na madini iliyo bungeni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
  1. Tukisema ccm haipo kwa ajili ya mtanzania ndio ukweli kabisa. Kwa sababu miswada ya dharura ndio imetufikisha hapa tulipo namakinikia. Lakini bado wanarudia makosa yaleyale ya kina Mangungo na majuzi hapa wametoka kukashifu waliopita kuwa walikuwa na maslai binafsi.
  2. Leo Polepole anatoka kumshutumu Lowasa kusema wafuate utawala wa sheria na kama hawana vithibitisho wawaachie watuhumiwa tatizo liko wapi ndio uchochezi?
  3. Hivi wanaoandamana kuonhezewa muda rais wakijua wanavunja katiba hao sio wachochezii?
  4. Leo wamepeleka muswada wa dharura tena mitatu lakini polepole hakugusia akiwa na lengo awatoe watanzania kwenye ajenda muhimu juu ya rasilimali zetu na kutupeleka kwenye vioja vya lowasa
  5. Akija rais mwingine nae atasema tena hao hao wataandamana kumuunga mkono.
  6. Tunanyimwa elimu makusudi ili watawale zaidi
 
Mkuu kwann usiwe bize kutafuta ugali wako wa siku km wao walivyobize kutengeneza ugali wako kwa njia hii,

Itakuwa POWa sana ukifanya hivyo, kuliko kuumiza kichwa chako juu hao watu
 
Kwa wana CCM hili hutokea pale njaa inapohamia kichwani na akili kuwaza tumbo tu.
 
Issue ya BARRICK GOLD CORP na MAKINIKIA imeishia wapi, wameshalipa hizo Trillion 108???.Sasa hivi hakuna dhahabu inayobaki kwenye mchanga???.
 
Back
Top Bottom