Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili...
4 Reactions
88 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema watu wengi wanaowazungumzia watoto wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Wanu Hafidh, Abdul na Ahmed hawajawahi kukutana nao ana kwa ana...
8 Reactions
71 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla amesema kwamba ccm haitegemei Kubebwa, haina haja ya kuteka watu na kuwatupa maporini ili kupata ushindi Na kwamba kauli za aliyekuwa DC wa...
9 Reactions
75 Replies
5K Views
Wanabodi List ya Forbes kwa mwaka huu ya mabilionea 100 wa dunia, imetoka leo, https://www.forbes.com/real-time-billionaires/, Bilionea Mwafrika Mweusi ni mmoja tuu, Aliko Dangote!. Nimekuwa...
11 Reactions
155 Replies
4K Views
Tofauti ya uzalendo wa kweli unainekana kwa viongozi wetu na Lissu? Tofauti ya usomi na PHD fake kama za wakina Samia na Kikwete zinaonekana. Hebu fikiria kwa dakika moja Samia au Kikwete ni...
9 Reactions
18 Replies
457 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba...
4 Reactions
88 Replies
778 Views
Huyu alikuwa Mkuu wa kikosi huko Mbeya, akiitwa Luteni Kanali Lubinga akikiri hadharani kuvunja katiba ya nchi ili kuibeba CCM, amekiri bila aibu wala wasiwasi wowote, hii ni kwa sababu hakuna...
14 Reactions
74 Replies
5K Views
Wanabodi Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na...
6 Reactions
157 Replies
5K Views
Pamoja na Mambo mengine kwenye hizi kesi nyingi za uongo wanazopewa Viongozi wa Chadema, huwa pia tunaangalia Wahudhuriaji, wale waliofika kusikiliza kesi husika. Na kwa kadiri ya Kumbukumbu...
33 Reactions
95 Replies
6K Views
'Wiki ijayo, Kenya itazindua ujenzi wa mtambo mkuu wa kusafisha mafuta ya petroli, dizeli, ya ndege nk huko Lamu, utakaosafisha mapipa 700,000 kwa siku. Huu utakuwa mtambo wa pili mkubwa zaidi...
4 Reactions
9 Replies
336 Views
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi...
2 Reactions
15 Replies
253 Views
Kama CCM ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegemee ikatoka madarakani tena
2 Reactions
7 Replies
108 Views
Mdahalo mkubwa Star TV wakijadili kalamu ya waandishi wa habari, yumo Khalifa Said, Balile na Neville Meena. cc paskali mayalla
2 Reactions
15 Replies
219 Views
Makamanda Shalom! Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa...
3 Reactions
18 Replies
161 Views
Msikilize Mheshimiwà huyu. He is an authority in the field of UCHAWA making a presentation on his convocation day
1 Reactions
1 Replies
89 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, katika Makao Makuu ya Umoja...
0 Reactions
5 Replies
404 Views
Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!! Ova
1 Reactions
6 Replies
199 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza Serikali ya Qatar kwa kufanikiwa kuwa na matumizi makubwa ya teknolojia kwenye usafiri wa umma na hasa matumizi ya nishati safi. Ametoa pongezi hizo...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Nashangaa sana watu kujifanya hamnazo kura ya rais inaenda na makamu wake kwa ule ushindi wa kishindo kuchaguliwa na wananchi milioni 31 na kupata 98% tunaweza kusema kwenye huo ushindi wa...
4 Reactions
25 Replies
208 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…