Indume
Member
- Apr 11, 2011
- 81
- 37
Operation Sangara ilianzakabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, na operation hii ilienezwa karibia mikoayote Tanzania. Na baada ya uchaguzi mkuu uliogubikwa na mazingira ya utatanishiwa kuipa CCM ushindi, operation sangara iliendelea tena hasa katika maeneoyenye ngome na ushawishi wa CCM.
Baadaye tena imeanzishwaMovement for Change, aka M4C au Vuguvugu la mabadiliko Tanzania. Hii M4C pia nizoezi linaloendeshwa sana kwa umakini nchi nzima kuratibiwa na kusimamiwa naviongozi waandamizi wa Chadema.
Hoja yangu kubwa ni kuiombaChadema kama chama makini kionyeshe malengo na dhamira ya hizi operations kwawanachama au wafuasi wake. Pia ni vema Chadema kitoe taarika kwa umma ninimatokeo ya hizi operation. Je nini matokeo chanya hasa ya Operation Sangara na M4C angalau ki-Mkoa?? Ni changamoto ganizilizojitokeza wakati wa kutekeleza hizi operation nchini. Je kuna mahusianogani yaliyopo kati ya Operation Sangara na M4C. Ni wakati gani inatumikaOperation Sangara nan i wakati gani inatumika M4C??? Ninajua leo hasa wanachamana wakereketwa hasa wa maeneo ya vijijini hawawezi hasa kujua ni kwa nini ndaniya muda mfupi tu tayari kuna operation mbili kali sana na nini maudhui yake.
Kama kweli kunahutajikamabadiriko ya kweli basi ni vema kuwepo na tathmini na taarifa ya utekelezajiwa operation moja baada ya nyingine. Je 2015 kuna operationnyingine????????????????