Marekani haitambui kiongozi yeyote anayechezea chaguzi kuu katika nchi yake, so inawatambua kuwa ni waharifu tu kama wengine na wakiona anamakosa hata ya kuonea raia aliowadhurumu haki zao...
Katika uhalisia wa maisha, hata kwa ngazi ya mtu binafsi, inapofikia suala la kupambania uhai wako, huwa upo tayari kutoa chochote ulicho nacho, na hata kukopa, ili tu kuokoa uhai wako, kama...
Kuna wakati Gerson Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuwasema waandishi wa habari kujikita katika kuleta habari zenye uhakika na zenye kuzingatia balance na uhakiki, na zisizo zua taharuki kwa jamii...
Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia...
Maajabu yaliyowahi kuwakumba wasabato kuwashangaa wasabato waliotaka kusafiri bila paspoti kwenda ulaya na Marekani yawakumba Wakatoliki kuwashangaa Wakatoliki waliokaa kimya wakati viongozi wao...
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje.
Katika historia yake...
π ππ π π ππ₯ππ π‘π¬ππ₯ππ₯π ππ£π’πππ π‘ππ¦πππ‘π π¬π ππππ πͺπ π§ππππ
Mjane wa Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Maria Nyerere amepokea nishani ya heshima kutoka Jamhuri...
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti...
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji...
Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka MedellΓn, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake...
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha...
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake.
Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi...
Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo!
Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo!
Kuwa macho na walioandaa ujinga huo...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Twitter (X) itafunguliwa pale ambapo tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania.
Kuna wakati Mkapa alikuwa akiwaponda sana waandishi wa habari,kwamba hawako professional. Sasa unapochukua gazeti na ukasoma makala kama hizi utaona kwamba Mkapa alikuwa right kuhusu asilimia...
Maduro ni kama vile ana undugu na Samia, maana tunapita mulemule. Ni kama Mungu anatonyesha ya mbele na kututaka tuchukue hatua haraka ili tusije kuharibikiwa kama wao.
Wananchi kuanza kumwomba...
Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani. Raia yeyote wa Marekani akishikwa au kushitakiwa nchi nyingine kwa utamaduni wa marekani ni swala la kitaifa sio tena swala...
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!
Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache...
1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu.
2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto.
3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu...