Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote...
1 Reactions
4 Replies
656 Views
Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO. Ameeleza kuwa Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu yaani TAHILISO...
2 Reactions
0 Replies
321 Views
Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni. Amekumbusha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Kwema Wakuu! Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, baada ya kupokea maombi ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tulikuwa tunakutafuta kwa muda mrefu, wewe ndiyo ulikuwa unawafundisha vijana ili wawapige askari, wewe taja cheo chako ni kawaambia mimi ni mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho, hapana sema...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema? Kwa Rais kusema hadharani kwamba...
13 Reactions
157 Replies
7K Views
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna...
3 Reactions
96 Replies
4K Views
Wakuu, Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere mwaka 97 aliingilia mambo ya Zambia na kwenda tumtembelea aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda wakati yuko gerezani, Kitwe. Alichofanya Nyerere...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM TAIFA ambao pia ni Wenyeviti wa UVCCM wa Mikoa mbalimbali nchini wameahidi kuhakikisha wanapigania Kwa nguvu zote kura za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha...
23 Reactions
80 Replies
3K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kazi ya Chama cha CCM ni kuisimamia serikali yao itekeleze ilani yao ya uchaguzi. Mpaka sasa naiona serikali yao ikituletea Xenophobia na nchi majirani zetu, vikwazo vya kiuchumi kutoka ulaya na...
1 Reactions
7 Replies
353 Views
"Kurugenzi ya Viongozi wawakilishi kwa maana ya Wabunge, wajumbe wa Baraza la Uwakilishi na madiwani na Kamati kuu imemteua Bwana Kayumbo Kabutali ambaye yeye ni Msomi wa Chuo Kikuu na ni Daktari...
1 Reactions
7 Replies
562 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwenye Jimbo la Moshi mjini ni mmoja tuu naye ndiye anayewapa msongo wa mawazo waroho wa madaraka na kufanya wajione wanaweza KAZI za kiume wakati wao ni wavulana.... Mbunge asiye na chembe ya...
0 Reactions
4 Replies
480 Views
Mtekaji ni Samia na mkwe wake yule watamisemi,hawa gharika linakuja,wanatuona sisi mazuzu,the day is coming
4 Reactions
0 Replies
105 Views
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima. Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu...
11 Reactions
122 Replies
5K Views
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally...
3 Reactions
9 Replies
668 Views
Back
Top Bottom