PreGE2025 Hatimaye Thamani ya Ubunge yashuka Rasmi, hata wasiofaa wanautaka

PreGE2025 Hatimaye Thamani ya Ubunge yashuka Rasmi, hata wasiofaa wanautaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,617
Reaction score
287,338
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.

Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!

Screenshot_2025-05-21-01-15-55-1.png

Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa

Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!
 
kibajaji, musukuma, prof majimarefu (rip), babu tale, shibiliti(hv bado yu hai?), yule dogo aliyemrithi mama yake,

ongezeni wengne
Uliowataja hapo hakuna hata mmoja unaweza kumfikia kipato wala maarifa ya maisha

Now umelala sebuleni kwa shemj yako unatumia Wifi ya bure unajiona mjanja
 
Baada ya Baba Levo kutangaza kuutaka Ubunge wa Kigoma Mjini, Maajabu yanazidi kuongezeka. Ikumbukwe Baba Levo aliwahi kufungwa jela kwa hisani ya ccm akiwa Diwani wa Upinzani, Rushwa husahaulisha shida.

Leo Diva Malinzi naye atangaza kuutaka Ubunge wa Tanga!

View attachment 3340526

Diva aliwahi kuutangazia Umma kwamba Mahari yake ni tsh Mil 500, lakini akaja kuolewa Bure na Tapeli Mpiga ramli, kabla ya kuachika baada ya kutelekezwa

Kesho Ukisikia Shilole anautaka Ubunge wa Ilala usishangae!
Huyu maisha yamemshinda, na akihonga anaweza akaupata huo ubunge kwa sababu si kama anakwenda kuongea la maana bungeni bali atachaguliwa ili tu akawe chakula cha wengine na watampa mada za kuongea ili aonekane naye ni mropokaji. Wabunge wanawake wanaliwa sana na kuambukizana maradhi tu.
 
Back
Top Bottom