Leo nimepata wasaa wa kusikiliza kwa makini maojiano na vyombo vya habari aliyoyafanya Dr Kitima na kujiridhisha pasi na shaka Kanisa Takatifu la Mitume Kanisa Katoliki na TEC wana idadi kamili ya...
"Wengi wanaosema hivi ni watu ambao hawajalelewa kimaadili, kwa mfano leo mimi nimekuja hapa Jambo TV huwezi kuniuliza swali linalonikera nikapigana na wewe, kufanya hivyo ni kukosa maadili na...
Mara Tyrant mara Bucherer huku Mwigulu na timu yake wapo bize kuwabagaza wafiwa.
The Times, London
The Sun, London
CNN, United States
BBC, London
Kuna msemo mmoja wa kizungu unasema, “Give...
Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni.
Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
CHADEMA wamekuwa wajanja, CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa kawaida; Haki za binadamu, utawala bora, threats, kupigwa, enforced disapperance- Amesema Wakili Mwabukusi
Mwambieni Samia ukweli.
Marekani kuna vyama vikuu viwili.
1. Republicans- Chama anachotoka Donald Trump ambacho ndo kinaongoza nchi yao kwa sasa. Hawa ni Pro Christians na Pro Christian values...
Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi...
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa...
Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani?
Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre...
Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji...
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni vyema Mahakama ikakubali kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia...
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja
Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu...
"Sasa kwa wale "Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja, amani ikichafuka haichagui" Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha...
Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia...