Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mbunge Tundu Lissu leo ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar kwa mahojiano, ametakiwa kuripoti tena Septemba 11. Polisi imesema Chanzo: Mwananchi Hapo awali Tundu lissu alihojiwa na Polisi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kauli hii imetolewa na uongozi wa chama cha DP, kuwa kifo cha Mch. Mtikila kuna mazingira ya utata kufuatia nyenendo zake za hivi karibuni na mikutano aliyoifanya marehemu kwa kuwataja baadhi ya...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Kuna hii kodi wanayotozwa wafanyabiashara ya E-Money Yaani "Tigo Pesa" "Mpesa" "Airtel Money" na nyinginezo kila mwezi zilipitishwa na Bunge letu. Kodi ninayoizungumzia ni ile ya zuio (Witholding...
1 Reactions
0 Replies
474 Views
Julai 13, 2012 Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni iliwasilisha maoni yake kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013. Pamoja na mambo...
9 Reactions
143 Replies
12K Views
Wakati Rais Magufuli alipoingia madarakani mwaka 2015 alijua kuwa anaingia kwenye kazi ngumu sana katika kurekebisha hali ya nchi ilipokuwa imefikia. Kwa ujumla watanzania walikuwa wamechoka na...
14 Reactions
127 Replies
10K Views
Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema itaendelea kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Serikali kwa njia ya kielektroniki kwa kuwa mfumo huo umeonyesha mafanikio. Akizungumza leo Agosti 28 baada ya...
1 Reactions
4 Replies
823 Views
Serikali ya awamu ya tano ni serikali ya watu. Ni serikali ya wanyonge na iko kwa ajili ya kuwahudumia watanzania wote bila kujali itikadi zao za dini, ukabila, ukanda wala vyama vyao vya siasa...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
_____________________,,,,,_______________________ Dunia kote kuna mamlaka, na vitabu vitakatifu vinasema mamlaka yote hutoka kwa Mungu, hiyo ni falsafa tu kwamba Watu ni Mungu, na Sauti yao ni ya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukifuatilia kesi ya uchaguzi hasa nafasi ya Urais nchini Kenya,ukiangalia majaji wanavyoruhusu mjadala,mawakili wanavyobishana kwa hoja, vyombo vya habari vinavyotekeleza jukumu lao la kuhabarisha...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Tunaipeleka serikali mahakamani - Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe ameweka wazi kuwa vyama vya upinzani vinakusudia kwenda Mahakamani kufungua...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Na. Juma George Chikawe Mpaka tunaingia katika sera ya ubinafsishaji, Tanzania kama nchi ilikuwa na viwanda visivyopungua 400. Imani waliopandikiziwa viongozi wetu wa wakati huo ilikuwa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
  • Redirect
Jana Rais anayetetea Acacia Tundu Lisu aliwatangazia mawakili wote waanze mgomo wa siku mbili, yani kuanzia tarehe 28 - 29/8/2017. Hii ni baada ya ofisi za mawakili wengine wanaotetea Acacia IMMA...
1 Reactions
Replies
Views
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), kutoingilia vyombo vya uchunguzi na upelelezi...
9 Reactions
180 Replies
15K Views
Kiongozi mkubwa sana ACCACIA wa mambo ya kisheria anaitwa Deogratios Mwanyika wakati kuna mwanasheria mwingine mkubwa tu IMMA anaitwa Pascal Mwanyika.Hao watu inasemekana wana undugu wa karibu...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya (CHADEMA) ameruhuiwa kutoka Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa tangia wiki iliyopita
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamani mie mwenzenu hadi sasa sijaelewa ni kwanini tanzania tulianzisha vyama vyama vingi 1992 . Maana hadi sasa sijaelewa ni KWANINI tuna vyama vingi. Maana watu wengi ninawaona wanajiunga na...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Redirect
KATIKA HILI LAZIMA NISEME NI AIBU KWETU MAWAKILI Baada ya kutokea uharifu wa kijinga na kinyama dhidi ya ofisi za mawakili wa kampuni ya IMMA, kumekuwapo na dhana tofauti kuhusu aliyefanya na...
9 Reactions
Replies
Views
Hii ni aibu kwa watanzania, wanaccm sasa hivi wanahoji kampuni binafsi za uwakili kuwakilisha watu/kampuni dhidi ya serikali, wanaccm hao wanasema kwa kufanya hivyo ni kukosa uzalendo, jamani hii...
1 Reactions
5 Replies
772 Views
  • Redirect
Tumeipenda wenyewe ......... Chaguo letu milele..... Wacha waisome namba eeeeeeee ccm mbele kwa mbele. Wacha waandamane weeeew ccm mbele kwa mbele. Hatunyi sumu wala hatujinyongi......
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), limesema wakati wowote litaendesha operesheni ya kubomoa nyumba zote zilizojengwa kando ya Bonde la Mto Msimbazi kinyume cha sheria...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom