IMMMA ilipata tenda ya kuitetea ACACIA kinyume cha sheria?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Kiongozi mkubwa sana ACCACIA wa mambo ya kisheria anaitwa Deogratios Mwanyika wakati kuna mwanasheria mwingine mkubwa tu IMMA anaitwa Pascal Mwanyika.Hao watu inasemekana wana undugu wa karibu mno wa damu.

Yawezekana Mwanyika mmojawapo aliinfluence Mwanyika mwingine ili IMMA ipande tenda.Hii ni kinyume na taratibu za tenda za kimataifa

source:Ishengoma Karume Masha & Magai (IMMMA Advocates)

Deodatus Mwanyika
 
Katafute hivyo vielelezo upeleke polisi/takukuru. Huwezi, acha kupiga ramli chonganishi.
 
Kiongozi mkubwa sana ACCACIA wa mambo ya kisheria anaitwa Deogratios Mwanyika wakati kuna mwanasheria mwingine mkubwa tu IMMA anaitwa Pascal Mwanyika.Hao watu inasemekana wana undugu wa karibu mno wa damu.

Yawezekana Mwanyika mmojawapo aliinfluence Mwanyika mwingine ili IMMA ipande tenda.Hii ni kinyume na taratibu za tenda za kimataifa

kwa hiyo unakubali kuwa Magufuli amekosea kumuweka mtoto wa dada yake "Dotto" kwenye wizara ya fedha??
 
kwa magufuli kila goti litapigwa.kila ubaya utadhihirika tu ni suala la muda tu.go braVO MAGU tupo nyuma yako kujenga nchi

Hebu wengine mmemsahau hata Mungu??
Got hupigiwa Mungu tu. Huyo magu wenu kawa Mungu tangu lini??? Mpenden lakn maifikie kukufuru
 
Kiongozi mkubwa sana ACCACIA wa mambo ya kisheria anaitwa Deogratios Mwanyika wakati kuna mwanasheria mwingine mkubwa tu IMMA anaitwa Pascal Mwanyika.Hao watu inasemekana wana undugu wa karibu mno wa damu.

Yawezekana Mwanyika mmojawapo aliinfluence Mwanyika mwingine ili IMMA ipande tenda.Hii ni kinyume na taratibu za tenda za kimataifa

source:Ishengoma Karume Masha & Magai (IMMMA Advocates)

Deodatus Mwanyika

Uwe unajaribu kushirikisha ubongo wako kwenye mambo ya msingi, achana na hoja mfu kaka

Hivi unajua kuwa huyo Mwanyika wa Barrick/ ACACIA ana ndugu yake anaitwa JOHNSON MWANYIKA ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali?,
Je unataka tuamini kuwa Mwanyika wa ACACIA na huyo aliyekuwa Mwanasheria mkuu walikula njama ya kusaini mikataba fake?
 
Unamjua Mwanyika mwanasheria mkuu wa serikali aliyetakiwa kuwajibishwa lakini serikali ya ccm ikamlinda hadi mwisho alipostaafu??

Kwa nn tusiamini huu ni mchezo wa ccm kujilipa hela za accasia kupitia IMMA?
 
Kiongozi mkubwa sana ACCACIA wa mambo ya kisheria anaitwa Deogratios Mwanyika wakati kuna mwanasheria mwingine mkubwa tu IMMA anaitwa Pascal Mwanyika.Hao watu inasemekana wana undugu wa karibu mno wa damu.

Yawezekana Mwanyika mmojawapo aliinfluence Mwanyika mwingine ili IMMA ipande tenda.Hii ni kinyume na taratibu za tenda za kimataifa

source:Ishengoma Karume Masha & Magai (IMMMA Advocates)

Deodatus Mwanyika
Kwa nini mnawaongelea Leo?, siku zote mlikuwa wapi. Isingekuwa busara tukapata nini kilichopelekea yakatokea kwenye ofisi zao. Ujue hofu hiyo si ya Imma Bali ni ya Taifa hata wewe usije uka
 
Uwe unajaribu kushirikisha ubongo wako kwenye mambo ya msingi, achana na hoja mfu kaka

Hivi unajua kuwa huyo Mwanyika wa Barrick/ ACACIA ana ndugu yake anaitwa JOHNSON MWANYIKA ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali?,
Je unataka tuamini kuwa Mwanyika wa ACACIA na huyo aliyekuwa Mwanasheria mkuu walikula njama ya kusaini mikataba fake?
Kwani lipi linashindikana hapo?

......
 
Back
Top Bottom