LACK OF EXPOSURE INAWA EXPOSE WATAWALA HARAMU
Yaani Rais KILAZA, Aliyeandika Speech KILAZA, Mshauri wake (wa kumwambia atumie issue ya Mafuta as topic) ni KILAZA, Aliyepenyeza “Kimemo” (sijui ni...
Mungu anaonyesha uwenda Taifa likapata mtikisiko mkubwa hivyo kama mtanzania ombea Taifa lako ombea idara zake na miimili yake. Dalili zinaonyesha upepo mkali kutoka mashariki na magharibi...
Kila mtu anajua Mama Samia anauwezo mdogo wa kielimu na hajasoma vizuri hesabu kuweza kujua bei ya mafuta hasa za kimataifa. Mkisikia Dr jamani ni za kupewa na tumwelewe yeye anategemea kusoma tu...
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale...
Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la...
Tunakuwa na viongozi fake ambao hata bei ya mafuta hawawezi kupiga mahesabu madogo na kujua. Leo ndiyo watuwakilishe kwenye mikataba ya bandari na mafuta. Wamejaza machawa vilaza nchi...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa...
Wabunge wateule, Angela Kizigha na Dkt. Evaline Munisi, Aprili 9, 2026, wameapishwa rasmi kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu...
Watu wakisema muafrika ni nyani nadhani Huwa wanaongelea watu kama Hawa waliopo kwenye madaraka. Haiwezekani bei ishuke leo kwenye soko la dunia ila sisi kushuka mpaka mwezi uishe. Logically...
Wakuu,
Akizungumza kwenye Mkutano wa wadau wa kupokea maoni ya wadau wa usafiri wa umma kwa njia ya barabara Yusuph Lupilia (Mwenyekiti wa wamiliki na usafirishaji wa abiria Mwanza) analalamikia...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alivyokamatwa na Jeshi la Polisi, tarehe 09 Aprili 2025 katika Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma wakati alipokuwa akiendelea na Oparesheni...
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza...
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi...
Kila mtu anaona namna ambayo nchi yetu hii inavyozama. Wahuni wameshika nchi na wanafanya uchafu wanavyotaka na hakuna wa kuwafanya kitu.
Vyombo vya usalama vimekufa haviwezi tena kuzuia Maovu...
Bei ya mafuta(+ongeza)ripoti ya cag(=sawasawa)wanaume kuibiwa nyeti zao (zidisha) mafuta ni usa dollar 800(changanya)kauli ya msemaji wa ikulu
Kama taifa, hapa ndipo tulipofikia mimi kama mr pipa...
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe na Waziri wa zamani, Suleiman Jafo, amewasilisha pendekezo la kiubunifu bungeni lenye lengo la kutatua changamoto ya ajira kwa vijana nchini Tanzania.
Katika mchango...
Akijibu swali la mbunge wa Segerea, Agnesta Kaiza kuhusu utitiri wa michango kwenye shule za umma unaoondoa dhana ya Elimu bure, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa serikali imetoa...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa wana jf, niliyejibainisha humu kuwa mkweli daima kwa kuusema ukweli daima no matter what, ila ukweli huo wa kusemwa ni unausema ukweli wenye manufaa tuu!, maana...