Nimetazama kwa ufupi sana majadiliano ya wabunge katika Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani. Kiukweli sijui kama hawa wabunge wanatambua wanachokifanya. Ni mashambulizi dhidi ya serikali ya Kenya...
Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa...
Leo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia, lakini sijasikia.
Nani atatutetea sasa...
Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke.
Jaribu unaweza kupata bahati!
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo...
Wakuu,
Jerry Muro kwenye press amesema kuwa Gwajima anatakiwa arudi kwa Dkt Slaa amuulize yaliyomo kwenye kitabu chake cha nyuma ya pazia.
Muro amesema kuwa hata Dkt Slaa alishawahi sema kuwa...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa...
Ndio maana hata viti maalum vinapigwa vita, maana wakipewa 99% wanakuwa manyumbu, kuongea ujinga mradi waendelee kubaki kwenye viti hivyo.
Mkitaka kujua nani ni manyumbu bungeni angalia tu hao...
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura
Aidha ameeleza kuwa ni...
Umuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe...
TAFAKURI YA KIJASUSI YA KAULI YA ASKOFU GWAJIMA MEI 24, 2025
Na: Steven Mmbogo
Mei 24, 2025
(Soma kwa umakini mkubwa)
1. Utangulizi wa Kiintelijensia (Intelligence Framing)
Kauli ya Askofu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi, Tauhida Cassian Galoss, amehoji udhibiti wa matumizi mabaya ya mitandao nchini, akieleza kuwa hali hiyo inaweza kuathiri amani na usalama wa taifa...
Mbunge Shally Josepha Raymond akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo amehoji ni lini utapelekwa muswada Bungeni kwa kuzia Wafugaji kuwapiga viboko Ng'ombe na kusababisha Nyama kupoteza ladha.
"Leo...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya...
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.
Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya...
Mungu hawai wala hachelewi, maana yake ni kwamba anafanya jambo kwa muda sahihi, mahali sahihi na katika mazingira sahihi.
Wakati wa Jiwe hata Mimi mwenyewe niliona kuwa anachelwa lakini...
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa...
Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.
Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.