Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya...
Dkt. Marandi wa Iran alisema "BBC ni mbaya sana, mbaya sana."
Mmoja wa waandishi wao wa habari alidai Wairani wanataka silaha za nyuklia zitumike dhidi yao.
Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Edga Mwakabela (Sativa)
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele...
Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran.
Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia.
Chadema wasitegemee chochote kutoka...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla...
Akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari kwamba atajisikiaje endapo CCM itamvua uanachama na kupoteza ubunge, Polepole amesema aliingia jijini Dar es salaam tangu 1988 na hajawahi kutetereka...
Habari wandugu
Kwa mimi nilikuwa mstari wa mbele sana kumtetea Mbowe kuhusu suala la ugaidi, lakini sina mwamko sana wa kumtetea Lissu na suala la Uhaini japo hana hatia na kosa lake.
Hi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi...
Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo.
Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao...
BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania,
Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia...
Heche anataka kuhamasisha tena watoto wa watu wakapigwe kete mtaani kisa Mhalifu na mropokaji Tundu Lissu ambaye anarekebishwa Ukonga.
Hakuna Mtanzania atatoka tena baada ya kuoneshwa intro...
Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya...
Kama wanafikiri kuwa kumweka gerezani Tundu Lissu ndiyo njia itakayowasaidia kubaki madarakani, inabidi wajihoji tena na watagundua kwamba hali hiyo ndiyo itakayo harakisha anguko lao..
Waliua...
Kesho ni siku ambayo watesi wetu wanahangaika nasi katika mahakama mbalimbali hapa nchini, wakidhani tutakata tamaa, Kesi kwa siku ya kesho ni kama ifuatavyo;
1. Jijini Dar es salaam, kesi ya...
Mh waziri ni nafahamu upo humu na unapitia mitandao ya kijamii na unamfahamu msanii wa maigizo anayejiita Madebe .
Msanii huyu amekuwa akipakia vionjo vya porn kwenye profile zake za Facebook...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo, Aprili 10, 2026, alipokuwa akitoa maelekezo kwa Serikali katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI...
UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA
Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa...