Kutakuwa na kilio na kusaga meno Kwa Samia regime, baada ya umoja wa ulaya kukata misaada Sasa ni zamu ya Australia.
Senetor Scarr ameleta pendekezo la kukata misaada yote ya Australia Kwa...
AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na...
Kuna mchezo tunaletewa kana kwamba hatuna elimu vichwani: Yaani Walioua ndugu zetu sasa wanajiita viongozi.
Mwigulu kaanza hadithi za kutohesabu waliokufa, wakati waliokufa siku zote tunaletwa...
Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano.
Watu waliwaona na kutambua Maiti za...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Benno Malisa, amewataka wananchi wa mkoa huo kutojihusisha na maandamano yanayohamasishwa kupitia mitandao ya kijamii kwa tarehe 9 Desemba, na badala yake kuitumia siku hiyo...
Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza.
Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa.
Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika...
Suala la polisi kuua watu hadharani na hawachukuliwi hatua ni viashiria vya kudharau sheria za nchi yoyote anayedharau sheria za nchi hatutamuacha.
Wanaua wanapindua serikali hawawajibishwi sisi...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo wa mapingamizi yaliyowekwa na Katibu Mkuu na Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA katika kesi ya madai namba...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Lissu yupo...
Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwajima kama walivyokuwa wametangaza awali ili aweze...
Wakuu,
Kuna onyo hapa kutoka Ubalozi wa Marekani Tanzania.
Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni wamesema maandamano yaliyopangaa kufanyika Disemba 9 huenda yakawahi yakaanza Disemba 5
Kwa hivyo...
Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi...
JE WAJUA?Kuzimwa kwa mtandao ni kizuizi cha haki za msingi za wananchi na uhuru wa kupata taarifa.Vifungu vya Kitaifa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
✅Ibara ya 18 – haki ya kutafuta...
Wanaolipwa kuua raia ni jeshi la polisi na wanatekeleza hilo kwa faida ya wezi wa mali za umma ambao wengi wao wana uraia wa nchi mbili
Wao wakishaua watabaki hapa hapa lakini wenza wao...
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.
Kingine nakukumbusha kuhusu...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kukosekana kwa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kumeendelea kuwa chanzo cha wananchi wengi “kulia...
"Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano...
Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga.
"Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.