Kuna watu wanajidanganya CCM kwamba chao chao na Tanzania ifuate mfumo wa Kichina badala ya mfumo wa kidemokrasia. Ukweli ni kwamba mfumo inabidi uendane na jamii. Sasa tujiulize kama haya...
Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia...
https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc
Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu...
Sifa kubwa ya Samia ni ugomvi na watu wenye akili, Samia anasifika kwa kuwa na chuki na watu wenye akili na elimu.
Naona anajipanga kupambana kujiokoa.
Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi.
Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake.
Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga...
NCHI INAPOCHAFUKA AMANI INATAKIWA KUTANGULIA NDIPO IFUATE HAKI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Nimeulizwa swali; Mtibeli sijasikia ukitoa maoni yako kuhusu kati ya Haki na Amani kipi...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai"...
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku...
Amani iwe nanyi Wanabodi.
Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli.
Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania...
1. Team Samia: Hii imejaa wapambe wa Samia ambayo ni wanzanzibari ndani ya Serikali, IGP Wambura , Makonda na Mapolisi wengine wanaoendeleza utekaji. Hawa ndiyo Samia anawaamini. Sasa wanataka na...
Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano.
Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa...
Wanabodi,
Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!.
Jee katika...
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka...
Salaam ipo mwishoni
Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu
Lugalo pembezoni...
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama...