britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,298
- 42,117
Mjusi unaotoka kwenye Paa kuanguka au kudondoka sakafuni kuna muda wakati ukiwa angani udhani una paa kama ndege Mpaka pale Tumbo likipiga sakafu kukumbusha kwamba we ni Mjusi
Mjusi tuliyenaye anasahau kwamba nchi si yake na utawala ni kwa muda tu, watu zaidi ya 12,000 tokea aingie madarakani wamepotea na kuuwawa huku Wengine wakibaki na alama ya maumivu mioyoni mwao!
Jaman Mjusi kaanza hata Kudhan yeye ni Kenge Anaweza Tafuna vijusi Jusi vinavyomsogelea na kusogelea yai lake liuzalo kobazi kule centre !
Lissu kukaa gerezani Mwaka usidhani itaisha hivi hivi na mbaya zaidi amlaumu aliyemshauri ujinga huu
Hatutoboi 2030 bila kuita mtu kati KAITABA KUU
Kuna taarifa inatisha anzeni kufunika vinywaji vyenu, mkienda kuzini mahotelini mwende na taulo zenu kabisa yatawakuta ya Mnyakyusa
Yaan
“A falling lizard thinks it’s flying until the ground reminds it”
Chukua Hiyo
Britanicca