Ndugu zangu Watanzania,
Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta...
Wakati wa Nyerere, Tanzania ilijulikana sana tu tangu Asia , Ulaya, Marekani hadi hapa barani kwetu Afrika. Labda tungeuliza hivi ni lini Tanzania ilianza kupoteza umaarufu? Huko Umoja wa Mataifa...
Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri...
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️
Ajumuishwa na Mashekh wengine watano
Ameandika...Bakari Mwakangwale
SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza...
Kwanza mheshimiwa Rais bwana Yesu asifiwe na tumsifu Yesu Kristu , kwanza nakutakia maisha mema na marefu kuuona mwaka 2019 ambao ni utakuwa unaingia umri wa watu wazima kabisa wenye 60+ ambao...
Deni la Taifa kwa sasa ni trillion 41 ambako uchunguzi unaonesha kwamba kila awamu ina mchango katika deni la Taifa , lakini awamu ya kikwete ilitia fora
1.Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 3...
Asubuhi hii nimekuwa nawaza yafuatayo
Najua ni vigumu kuwa unamdai mtu akakulipa unayetaka, labda umwambie akupatie alichonacho Na huduma mbali mbali Na umpe timeframe,
Kama ningebahatika kuwa...
Nimekuwa nafuatilia sana mataifa mbali mbali ya afrika na dunia kwa ujumla, Kwanza naanza kwa ku declare interest kwamba mimi ni mwana CCM, ambaye nimeitumikia CCM katika nyadhifa mbali...
Tunaanza
Mwizi wa madini ya Tanzania ni nani na huputia wapi?
Mwizi wa madini ya Tanzania ni yule ambaye anasaini mikataba ofisini kinyume na maadili na taratibu zilizowekwa juu ya uchimbaji na...
Rais amesema mipango ya kujenga uwanja wa Omukajunguti ulikuwa wa kisiasa zaidi,
Ameyasema hayo katik ziara yake mkoani kagera mjini Kyaka ambapo ni kama wachache tu kwenda Omukajunguti ambalo ni...
Kusema kweli naanza kuwa na was was na kama kweli mahakama ya mafisadi IPO au tulidanganywa? Kuna nia kweli au ni siasa? Kesi zipo hapa hebu anza na hizi,
1.Richmond hasara ya 350 billions...
Magufuli kaanzisha baadhi ya miradi na pengine kwa nia njema lakin anatumia nguvu sana kutafta hela kwa njia yeyote hasa kuwakamua watanzania ili hela ipatikane apate kutimiza miradi hiyo
Sehem...
Nimezijua sana siasa za Tanzania, nimejua mbinu tunazotumia kuudanganya Umma,
Mbinu pekee ni kuwaaminisha wananchi kwenye makaratasi na majukwaa kwamba uchumi umekua kumbe siyo,
Kiashiria...
Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika?
Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion...
Tanzania tumejiwekea deadline kwamba Mwaka 2025 tunatakiwa kuwa tumefika uchumi wa kati, na Mpango mkakati ulikuwa ni kumleta kiongozi ambaye ataweza kuyasimamia hayo
Tuwe na viwanda vya kutosha...
My Take
Hili linahitaji Uchunguzi,mamlaka zitume makachero huko wakabaini ukweli wake.
Hii imekaaje kwamba tunakuwa branded Kwa matukio mabaya mabaya tuu?
Je Nchi yetu imekuwa kichochoro rahisi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje...
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Zanzibar, Khadija Nassoro Abdi, amewataka vijana na wananchi kwa ujumla kuwa makini na kile alichodai kuwa ni jitihada...