Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue...
23 Reactions
46 Replies
1K Views
  • Featured
Mamlaka ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna waraka nimeupata leo (22 Aprili 2026), umetolewa na Mtandao wa Viongozi Wanawake Afrika (AWLN) Tawi la Tanzania. Hili tamko limetolewa sambamba na ugeni wa vigogo wawili...
3 Reactions
7 Replies
199 Views
Warioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai. Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika". Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje...
7 Reactions
42 Replies
692 Views
Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo. Takwimu hizo...
3 Reactions
13 Replies
351 Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasilisha orodha ya mambo saba muhimu anayoyachukulia kama msingi wa mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria...
49 Reactions
201 Replies
5K Views
Minog'ono kila kona sasa hivi eti Dk Nchimbi ndio anafaa kuwa rais wetu . Huyu aliyepo akae pembeni na ajiuzulu. Kwa nini mnawaza haya?
10 Reactions
71 Replies
1K Views
Mtu Ambaye hata ndani ya chama chake alikatwa n.a. akakubali na kunyamaza, anajua nini kuhusu Mauaji ambayo yalielekezwa n.a. Watawala? Ni kweli kwamba Othman Chande amepewa Majina ya wanaotakiwa...
32 Reactions
42 Replies
1K Views
Imekuwa jambo la kawaida kwa jamii yetu hasa za waswahili kuweka picha za faragha za wenzi wao au rafiki zao kwa nia ya kuwakomoa. HII SI SAWA HATA KIDOGO! Tumeona akina Mwijaku, na wengineo wenye...
13 Reactions
97 Replies
1K Views
Tumepata Rais toka Afrika, Rais Cyril Ramaphosa ambaye kama Mwalimu Kambarage Nyerere, anayeweza kuongea kimataifa juu ya haki, na watu wakamwelewa.
0 Reactions
0 Replies
124 Views
toa mwongozo na ufafanuzi kuhusu taratibu za bunge na mahusiano kati ya Kamati za Bunge na taarifa za CAG. Hapa kuna nukuu muhimu kutoka kwenye video hiyo; "Wakati wa jioni Bunge lilipokuwa...
3 Reactions
5 Replies
420 Views
Taswira kubwa ambayo naiona hapa ni namna gani tunaiambia dunia kwamba tuna uwezo wa kushughulikia changamoto zetu na kuzipatia ufumbuzi. Jaji Mkuu Mstaafu Wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema; "Kutokana na hatua...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Waziri wa Nishati, Deogratus Ndejembi leo Aprili 22, 2026 amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma, ambapo ameomba jumla ya tsh trilioni...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya...
6 Reactions
10 Replies
358 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rafiki wa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Kamala Harris Ameweka Wazi nia yake ya kufikiria Uamuzi Wa Kugombea Urais wa Marekani Mwaka...
2 Reactions
32 Replies
813 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe, ametoa tamko kali dhidi ya kile alichokiita "siasa za mateso" na kesi za kutengenezewa, huku akitaka...
2 Reactions
2 Replies
195 Views
Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani? Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza...
1 Reactions
6 Replies
228 Views
Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia...
22 Reactions
177 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…