Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mjini kinshasa leo hasa Kanisa la St Michael central Kinshasa waumini wa Kikatoliki leo walikuwa na wakati mgumu sana makanisani baada ya wanajeshi wa DRC kuingia maeneo ya IBADA na kuwapiga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la ubungo kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Sueid Kubenea amesema katika sakata la ununuzi wa wabunge na madiwani kama njegere sokoni, serikali ya CCM ilitenga...
7 Reactions
92 Replies
8K Views
Inawezekana katia barua zao za ajira kuna kigengele hiki ambacho ndio kinawafanya watu wajitoe akili: "Pamoja na majukume mengine, utawajibika kutetea mamlaka yako ya uteuzi kwa kila jambo,kauli...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
My take: Ujumbe huu wa maandishi na picha umfikie Mr.Mabavu na asisahau kuwa hilo "koti" atakuja kulirudisha.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna siku mheshimiwa raisi alilalamikia watumiaji wa mitandao kuwa watu wa kukosoa kilakitu kana kwamba hakuna zuri hata moja lililokua likifanywa na serikali yake, Kwa kiwango fulani alikua...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
My Hero Tundu Antiphas Lissu, Thank you. That seems so small to say to someone so largely impactful in my life. I wish I could say more, but I know you wouldn't mind if I didn't even say that...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasalimu na kuwashukuru wote tunaokaribia kuingia mwaka mpya wa 2018. Tunatarajia kuingia mwaka mpya leo saa sita usiku lakini pia si vibaya tukiangazia masuala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli kuna ukakasi kwenye suala la shughuli za kisiasa. Wakati mwengine unaweza kupata shida kutofautisha shughuli za Magufuli kama Rais na mwenyekiti wa ccm Kwenye paredi ya wanajeshi Arusha mara...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu watanzania wenzangu, Leo nimetafakari sana kuhusu namna ambavyo viongozi wa serikali ya awamu ya tano wanatusisitizia kuhusu kutokuzungumzia siasa.Baada ya kutafakari kwa makini...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi ccm,mkoa wa Arusha kimekanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake kuwa kimekuwa kikilitumia jeshi la polisi mkoani hapa kuwanyanyasa wapinzani wa chama cha chadema ili kufanikisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
As you touch the pic it gets colourful May God bless you with colourful life ahead and colourful happy new year in advance.
2 Reactions
1 Replies
475 Views
Hakika nimeshtushwa na kauli ya Kamishna Wa TRA juzi juu ya suala la Askofu Kakobe.Najiuliza kwanini Kamishna Wa TRA ameibuka baada ya Askofu Kakobe kutoa Mahubiri?
1 Reactions
10 Replies
914 Views
Baada ya kufuatilia Historia ya Nchi nyingi (zaidi ya 17) zenye uchumi mkubwa duniani; nimejiridhisha kuwa; Tanzania ipo kwenye kipindi cha mpito na inafanya vizuri ukilingalisha na nchi...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Baada ya serikali kutoa mwongozo wa namna ya kufanya siasa nchini, baadhi ya wanasiasa waliibuka na malalamiko kwamba wananyimwa uhuru wa kufanya shughuli zao za kisiasa. Waliibuka na dhana kibao...
2 Reactions
119 Replies
6K Views
Kwanza, Sijui serikali ni tajiri kiasi gani. Kwa hio kama kusema nina hela zaidi ya serikali sioni tatizo Pili na Kwanza, Nasikia serikali inakopa ndani na nje mwaka hadi mwaka na deni la Taifa...
32 Reactions
117 Replies
10K Views
Wadau Leo tarehe 31 Desemba 2017 kuanzia saa 12:00 jioni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh Humphrey Polepole atakuwa moja kwa moja (Live) katika kipindi maalumu cha maswali na majibu kupitia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
KWA NINI TUSIMSAMEHE PROF. LIPUMBA NA TUANZE NAE UPYA AKIWA MWENYEKITI WA CUF? SEHEMU YA NNE: [FACTS FINDING] Katiba ya CUF;- Na. Maharagande, Jamaa zetu wame-‘panic’ hoja makini zinawatoa...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Back
Top Bottom