Nape:Nguvu hazijawahi kuwa chanzo cha amani popote pale duniani

Thread kama hizi, kutafuta combination ya kina Nape ni dalili mtu aliekata tammaa ya kuishi, pia ubunivu zero, mbaya zaidi wewe ni kijana umebarehe lakini umengangania kukaa kwenu chumba cha uani
 
Kuna watu wanadhani kiti cha uongozi anacho kikalia alikichonga yeye.
 
Kuna watu wanadhani kiti cha uongozi anacho kikalia alikichonga yeye.
Nape rafiki yangu naona ume - frustrate sana! Ungetulia ingekusaidia sana! Sasa unawaaibisha hata waliokuamini wakidhani ulikuwa na "kauwezo" fulani! You have cleared their doubt,you are an "empty shell" upstairs!
 
Back
Top Bottom