Humphrey Polepole leo atakuwa na kipindi cha maswali na majibu kupitia ukurasa wake wa Facebook

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau

Leo tarehe 31 Desemba 2017 kuanzia saa 12:00 jioni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh Humphrey Polepole atakuwa moja kwa moja (Live) katika kipindi maalumu cha maswali na majibu kupitia ukurasa wake wa Facebook: humphreypolepole.

Nyote mnakaribishwa kushiriki, tafadhali mjulishe na mwenzako.

Chanzo: Humphrey Polepole
 
Wadau
Leo tarehe 31 Desemba 2017 kuanzia saa 12:00 jioni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh Humphrey Polepole atakuwa Live katika kipindi maalumu cha maswali na majibu kupitia ukurasa wake wa Facebook.Nyote mnakaribishwa kushiriki.
Tafadhali mjulishe na mwenzako.
Source: Humphrey Polepole
Akili ndogo kuongoza akili kubwa, nchi ya maajabu! nani amsikilize?
 
Hivi Polepole naye ni Mheshimiwa!!?

Mind that kuwa Katibu wa chama tawala hakumpi mtu Uheshimiwa!!
 
Wadau

Leo tarehe 31 Desemba 2017 kuanzia saa 12:00 jioni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh Humphrey Polepole atakuwa moja kwa moja (Live) katika kipindi maalumu cha maswali na majibu kupitia ukurasa wake wa Facebook: humphreypolepole.

Nyote mnakaribishwa kushiriki, tafadhali mjulishe na mwenzako.

Chanzo: Humphrey Polepole
mkuu hana pesa ya media au hata radio vyuma vimekaz
 
Wadau

Leo tarehe 31 Desemba 2017 kuanzia saa 12:00 jioni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh Humphrey Polepole atakuwa moja kwa moja (Live) katika kipindi maalumu cha maswali na majibu kupitia ukurasa wake wa Facebook: humphreypolepole.

Nyote mnakaribishwa kushiriki, tafadhali mjulishe na mwenzako.

Chanzo: Humphrey Polepole
Mheshimiwa akiwa anaheshimiwa na nani?

Nonsense!
 
Yeye tumuulize kuhusu nini. Angekuwa hata mwenyekiti wa kitongoji hapo sawa.
Hana mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi achilia mbali kuzitatua.
 
Watu hali zao mbaya, wanataka majibu ya vitendo kupitia upatikanaji wa ajira, uboreshaji maslahi watumishi wa umma, gharama za maisha kupungua, mikopo ya kutosha, usalama wa maisha yao, uhuru wa wao kutoa maoni, haki ya kuchaguliwa bila kujali wanatoka chama gani n.k wanahitaji majibu ya vitendo sio siasa. Ukiwapa majibu kwa vitendo wala hakuhitajiki majubu ya kisasa kupitia Facebook
 
Hatuna muda wa kushughulika na mapokeo,bali tunacheza na mawazo yenye logic.
 
CHADEMA washapatwa na wivu juu ya wazo lenu, wao wameamua kuitisha Press Conference
 
Back
Top Bottom