UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Kwanza,
Sijui serikali ni tajiri kiasi gani. Kwa hio kama kusema nina hela zaidi ya serikali sioni tatizo
Pili na Kwanza,
Nasikia serikali inakopa ndani na nje mwaka hadi mwaka na deni la Taifa hulalamikiwa kuongezeka mwaka hadi mwaka. Mimi wala sijawahi kukopa, sasa kwanini nisisema nina pesa zaidi ya serikali?
Tatu na Kwanza,
Serikali inakimbizana kukusanya kodi, inaomba msaada hapa na pale, mimi naishi kwa sadaka ya waumini yaani sikusanyi kodi, wala sitembezi bakuli kuomba msaada, sasa Je kwa nini nisiseme nina hela kuizidi serikali?
Nne na Kwanza,
Sina majukumu sijui kuimarisha huduma za kijamii hususani hospitali, mashule, ulinzi na mambo kama hayo ila serikali inayo, Jukumu langu ni moja tu KUHUBIRI INJILI YA BWANA YESU KRISTO, sasa kwanini nisiseme nina hela kuishinda serikali?
Tano na Kwanza,
Biblia inatuambia tafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni na mengine mtapewa, mimi naona ufalme wa Mbinguni ninao hivyo utajiri nilio nao ni zaidi wa serikali
Sita na Kwanza,
Maandiko matakatifu yanasema Utajiri na Heshima upo mikononi mwa Mungu Baba Muumba. Mimi ni mtumishi wa Mungu Baba Muumba, hivyo utajiri ninao maana upo mikononi mwake
Saba na Kwanza,
Namalizia kwa kusema tena mbele yao mimi nina Utajiri wa kiroho, mwili na nafsi ambazo ni zaidi ya pesa za Dunia yote hii. Naendelea kukazia kwa kusema mimi nina Utajiri kuliko serikali yote ya Dunia hii
Nane na Kwanza,
Naendelea kufuata ratiba yangu ya kuhubiri wala sina muda na wakaguzi wa TRA maana msimamo wa katiba yetu hairuhusu ku audit sadaka wala kulipisha kodi. FULL STOP.
Hapo polisi wataingizwa mkenge kukamata watumishi wa hapo kanisani kwa nguvu. The beginning of chaos !