Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi.
Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe...
Wengi kama siyo wote tunajua kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ni ya kisiasa na ya kutengenezwa. Uchafuzi sasa umepita na wenye kushindishwa kwa nguvu wameshinda.
Kuna sababu gani ya...
..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga.
..sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa sasa, wengi wa watanganyika wanawalaumu polisi kwa mauji kiasi cha kuanza kuonekana kama waliua wao peke yao.
Je, nani aliwapa silaha na amri ya kuua?
Je, nani...
JohPombe Magufuli Jiwe,
Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana...
Inawezekana ni kweli kuna watu magangwe lakini yeye aliye na risasi (mwenye kutumia bunduki) ndiyo gangwe zaidi? Maana wapo magangwe wa ngumi na kupigana hovyo lakini akikutana na mtu mwenye...
MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani.
Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na...
Political comentator maarufu Instagram , DJ Bwakali, ameelezea kustuka kwake kwa kitendo cha Kikwete kutolaani mauaji yaliyofanyika Oktoba29.
Niliwahi kuliongelea hilo hapa mtandaoni, sasa dunia...
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto...
Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye...
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.
Taarifa ya jambo hili...
Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako...
Heshima ya Mzee Wasira kwa jamii na kwa chama haijawahi shuka, Mzee akiongea unaona Nuru, unaona mwanga unatapa uchungu wa kuilinda amani ya Tanzania yetu.
Sisi vijana tunategemea tuambiwe...
Wakuu,
Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa...
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala...
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na...
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.
Twende pamoja
Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni
Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku
Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025...
Naingia moja kwa moja.
Kila awamu ina mazuri na madhaifu yake. Leo ntaeleza kwa kifupi mazuri machache ya Kila awamu na madhaifu angalau moja.
*JK I – Amefanikiwa sana kutuweka pamoja...
Jeshi la Polisi Tanzania limewashukuru wananchi kwa ushirikiano katika kulinda amani wakati wa Sikukuu ya Krismasi na kusema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari.
Polisi wamesema...