Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam Wakuu, Leo natumia Wasaa kumpoongeza Mtu muhimu sana Nchini Tanzania. Msomi asiye na Majivuno wala kufanya kazi kwa Mihemko. Dkt Possi, nakutakia kumbukizi njema ya siku yako ya...
2 Reactions
9 Replies
261 Views
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja. Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya. Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia...
5 Reactions
23 Replies
768 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais, Diplomasia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano...
2 Reactions
3 Replies
178 Views
Dr Paula ni Executive Director wa Intelwatch, shirika la kimataifa lililomshitaki Samia na viongozi wa vyombo vya Dola kwenye mahakama ya kimataifa ICC. Mwanamama huyo wakati anaojiwa na gazeti...
61 Reactions
124 Replies
3K Views
1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa , Wengi...
7 Reactions
72 Replies
2K Views
Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni...
3 Reactions
7 Replies
200 Views
Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote? Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo...
34 Reactions
48 Replies
2K Views
Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo...
1 Reactions
35 Replies
590 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao...
30 Reactions
300 Replies
21K Views
https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly...
4 Reactions
2 Replies
329 Views
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said Mwaipopo amesema sababu ya Chuki na ukosoaji unaofanywa na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba ni kutokana...
1 Reactions
6 Replies
349 Views
Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani...
20 Reactions
41 Replies
654 Views
Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
5 Reactions
28 Replies
610 Views
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and...
0 Reactions
9 Replies
305 Views
Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo...
5 Reactions
3 Replies
365 Views
Napenda kueleza hisia zangu kuhusu haya yanayoendelea nchini Tanzania, kiasi cha kuundwa rasmi team mbili kuu. Yalianza rasmi enzi za Magufuli, kutekwa risasi, kufungwa kufilisiwa nk. Huenda ni...
3 Reactions
6 Replies
247 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…