Wasalaam wanaJF,
Leo ni siku ya Jumapili, naamini watu wengi mko katika mapumziko ya wiki. Huu ni muda muafaka katika wiki ambao tunaweza kuutumia kujadili mambo ya kisiasa yaliyotokea na...
Tukielekea kwenye uchaguzi siku 24 kuanzia leo kumekuwepo na mkanganyiko mkubwa wa hayo maneno hapo juu.
Ukisikiliza sera na ilani hasa za vyama vikuu 2 shindani unabaki unachanganyikiwa kujua ni...
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.
Wote mnakaribishwa.
Maendeleo hayana vyama!
Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache.
Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya...
CCM ikikosa dhamana ya kuongoza nchi, kama haitasambaratika kitakua chama bora cha upinzani kupata kutokea Tanzania. Kuna makosa machache yakifanyiwa kazi na CCM kuingia kwenye tanuri kitatoka...
Wakuu salaam.
Natambua kuwa, vyama vyenye wabunge, madiwani na kura kadhaa kwenye urais, vinapewa ruzuku kwa mlinganyo unaowiana na kura hizo.
Ccm wanapokea billion kila mwezi, Chadema...
Kimantiki maelezo ya mh, Mbowe wakati akitoa msimamo wa chama cha CHADEMA kuhusiana na kusimamishwa kwa mgombea wa kiti cha urais wa chama hicho mh, Tundu Lisu na kamati ya maadiri ya tume ya...
Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama wewe unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA...
Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21.
Wasifu wake ni huu hapa:
Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika...
Amani kwako.
Ikumbukwe kuwa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa na late Mwl. Nyerere ilikuwa na lengo la kukubali na kuonyesha dunia kuwa Tanzania ina demokrasia.
☝Pichani: late Mwalimu Julias...
Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi.
Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za...
Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere.
Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi...
Nimemsikiliza mara nyingi sana tena kwa makini sana mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, mara zote amekuwa akiisisitiza Tume ya uchaguzi nchini, iendeshe uchaguzi mkuu ujao, katika...
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe...
Wana CHADEMA, viongozi wa kitaifa. Tengenezeni MWENGE kwa jina la HAKI UHURU NA MAENDELEO YA WATU. Upangie ratiba ukimbizwe kupitia majimbo yote ya uchaguzi. Ukimbizwe na team ya walioenguliwa...
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi...
Ndugu wanajukwaa na watanzania kwa ujumla, naamini kwa pamoja tunakubaliana kwamba amani ya nchi yetu ni muhimu kuliko mgombea yeyote na nafasi yoyote.
Sasa kutokana na umuhimu wa amani hasa...
Baada ya ushindi wa dhoruba unaoonekana bila ya chenga kuiangusha CCM, Maalim Seif Sharif amezidi kutoa matumaini ya uhakika kuwa kiti cha Umoja wa Mataifa cha Zanzibar kitahakikishwa kinarudishwa...