Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM. Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo...
6 Reactions
279 Replies
24K Views
CCM kwa kuiga. Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP #Uchaguzi2020 #OktobaTutawezana
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kiongozi wa cha chama cha ACT-Wazalendo taifa Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wa mkoa wa Katavi watawachagua viongozi wa upinzani watahakikisha wanaletea mabadiliko katiko sekta ya afya, maji...
34 Reactions
74 Replies
8K Views
Nimeiona na hata Kuisikia kutoka kwa Wagombea kama Wawili Watatu hivi kutoka kwa Wapinzani wakifanya dhidi ya Wagombea wa kutoka Chama Tawala. Na sidhani pia kama kuna Mtanzania Mpumbavu (Popoma)...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
WARAKA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SONGWE KWA ASKOFU MWAMAKULA! Bwana Yesu Asifiwe mtumishi wa Mungu. Ninaitwa OBADIAH SIMON MWAIPALU. Ni Mgombea UBUNGE Jimbo la SONGWE Mkoa wa SONGWE kupitia...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni sababu gani zimewafanya CCM kukimbilia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? Nini kimewakuta na kuwasibu ? Wanaitegemea Tume ya uchaguzi kuliko Mungu, wamehisi kitu gani? Sasa niwaulize siku...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit...
14 Reactions
122 Replies
16K Views
Mlikuwa mnapokea ruzuku milioni 360 kwa mwezi, peza hizi mmezipokea zaidi ya miaka mitano. Uchaguzi umefika mmekuwa na magumu ya kisiasa hadi majukwaa ya mgombea urais yanakuwa ni meza za wauza...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Hawa polisi sasa ni dhahiri wanaingilia shughuli binafsi za mgombea wa Chadema, Tundu Lissu. Lissu ni Mwanasiasa na shughuli kubwa kwake ni kufanya siasa. Ili uweze kutekelezwa majukumu yako...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Wiki chache zilizopita ilizinduliwa kampeni kabambe ya kumchangia Tundu Lissu kupitia akaunti ya benki na kwenye mitandao ya simu. Zoezi lilipokelewa kwa hisia kali na makamanda...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Hii hapa ni Kata ya Maendeleo , Soko Matola
10 Reactions
33 Replies
4K Views
MGOMBEA Urais Zanzibar kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na wavuvi na wakulima wa Mwani na Kijiji cha Tumbe, mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwahidi kuwapa vifaa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuelekea Oktoba 28, Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi-Kamisheni ya Zanzibar, CP Mohamed Haji Hassan ameonya kuhusu uvunjifu wa amani visiwani humo Amesema, "Baadhi ya Wagombea wa Vyama vya Siasa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Mambo aliyoyaongea Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza...
11 Reactions
113 Replies
12K Views
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu. Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Ameandika Malisa GJ kuhusu Mauaji ya Mlelwa wa CCM Njombe Kwanza kabisa nalaani mauaji ya Bwana Emmanuel Mlelwa kada wa CCM anayedaiwa kuuawa huko Njombe. Either mauaji haya yametokana na sababu...
13 Reactions
16 Replies
3K Views
Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira ya Serikali ya awamu ya 8 ni kukuza uchumi katika Nyanja zote ili kuwapa vizuri wafanyakazi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…