Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo...
4 Reactions
76 Replies
9K Views
Nchi yetu inadidimizwa na watu wachache sana huenda ni kwa kukosa maarifa. Na tutaendelea kusomeshwa kikundi hichi cha watu wachache waliokosa maarifa mpaka hapo tutakapostuka. Suala la kuwaambia...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni muda Sasa NEC kupitia picha na video kurudia rudia mafuriko na mikutano ya Lissu kusoma alama za nyakati. Mikutano ambayo haipewi matangazo ya kutosha, mikutano isiyorushwa live, mikutano...
21 Reactions
69 Replies
8K Views
Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali ya kuweza kuimba nyimbo za hamasa, kuikosoa Serikali na kuonesha hisia zao hadharani na mbele ya polisi hapo awali haikuwapo. Tena hayo kufanywa na makundi ya watu wazima na wanawake. Lakini...
31 Reactions
82 Replies
9K Views
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF. LIPUMBA" TANGA-KOROGWE VIJIJINI Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi...
0 Reactions
4 Replies
784 Views
Lissu ameamua kuutumia vizuri muda wa likizo ya lazima ya Tume kutafuta mahitaji yake ya muhimu.
55 Reactions
195 Replies
21K Views
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu...
26 Reactions
633 Replies
63K Views
Tume ya taifa ya uchaguzi imekiri kutambua haki ya viongozi wa serekali kupiga kura Kama ilivyo kwa raia wengine. Hata hivyo tume imekataza viongozi wa serekali kuonekana kwenye vituo vya kupigia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Asemavyo Nyerere kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2020 katika kitabu chake cha "TANU na Raia" Miezi nane kabla ya 9 Desemba 1962, siku ambayo Tanganyika ilitangazwa kuwa ni dola ya kijamhuri, yaani mwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka...
10 Reactions
125 Replies
15K Views
Kampeni ya kutaka Rais ni aina ya uchochezi dhidi ya Rais aliyeko madarakani, huu ni wakati wagombea wengine wanawashawishi wananchi waachane na aliyeko madarakani wamchague yeye, ukifanya...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Dar es Salaam ndipo tulitarajia iwe ngome kuu ya upinzani Nchi hii KUSTAWI ajabu inaelekea kuwa sivyo. Mwenendo mzima wa aina ya upepo wa kampeni za uchaguzi mkuu huu kwa hakika haupo kabisa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
NEC watupatie elimu hii sawa sawa. Je, ni kweli kuwa bado nikiwa ndani ya Tanzania lakini nje ya kituo nilichojiandikisha siwezi kupiga kura ya Rais? Kuhusu ubunge hiyo ni sawa, lakini kura ya...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Baadhi ya wanachama wa chama fulani wamekuwa wakijinasibu na hii taarifa ya kupikwa kuwa kama zikipigwa kura au kupendwa kwa chama chao hapo mwanza basi asilimia 95 inawapa ruksa kujitutumua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam, Huwa inashangaza kwa mtu msomi mwenye akili timamu anapoamua kwa makusudi kupotosha jambo lenye maslahi kwa umma, ambalo linatambulika vema kwa jamii husika. CCM wameparamia kujibu...
21 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…