Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania Magufuli: aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya, aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania, kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wanafika hospitali, wanapiga picha wapendwa wao na watu wengine wanowazunguka bila ridhaa ya wale waliopigwa picha, hii si sawa. Madaktari wapo kazini, baadhi ya wahudumu wa afya wasio na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Moshi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu kuwaamuru wananchi waliokuwa katika...
26 Reactions
91 Replies
8K Views
Tanzania president raises doubts over COVID vaccines President John Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are ‘dangerous’. --- Tanzanian President John Magufuli has...
28 Reactions
216 Replies
21K Views
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi. Je, hawa wako kundi gani? Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea...
24 Reactions
106 Replies
8K Views
Kama kuna mawaziri wadogo ambao kila mbongo anawakubali kwa kuchapa kazi basi ni Godwin Mollel. Ama kwa uhakika huyu jamaa ni mchapa kazi kwelikweli na anapofanya ziara huwa anaibua madudu na...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa...
7 Reactions
107 Replies
6K Views
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuhusu Banana Republic ya Bongo, ambayo imejaa baadhi ya watu wabinafsi na wenye kujipendekeza mpaka wanatia kinyaa na kuwa tayari kutetea kila jambo linalofanywa na huyo...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma, William Kusila amesema kuwa Tanzania inaelekea kuzimu na kwamba hakuna namna tena ya kukifanya chama hicho kikawa na heshima...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika...
19 Reactions
192 Replies
22K Views
Wapo watu wamejitwalia mamlaka za kuwafanya walio chini yao kama wanyama. Mtu anapigwa na dola Hadharani then dola inasema alikua mgonjwa na anayetamka hayo yupo mbele ya TV na hakuna anakemea...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Mzazi mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato cha kwanza akidai kuwa mwanaye hana akili na kwamba...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
RAIS Dk. John Magufuli amewatolea uvivu wananchi wanaotembea na mabango yakielezea mishahara midogo wanayolipwa katika maeneo yao ya kazi, kwa kuwataka waache kazi, waende kulima kama wanaona...
21 Reactions
221 Replies
27K Views
Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Roho yakimasikini ni nini? Roho yakimasikini niroho ambayo haipendi hau haifurahi pindi mtu akifanikiwa au akiwa na kitu yeye hana. Roho ya umasikini umuhaminisha mtu kuwa bila yeye hakuna...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake. Hapa nchini kwetu kumetokea...
6 Reactions
124 Replies
7K Views
Twende pamoja nami kwenye uzi huu. Kutoka katika Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa, Chama kinatenga siku maalum kila wiki ili kusikiliza...
2 Reactions
10 Replies
965 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…