Mkuu wa wilaya ya Hai,Mkoani Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya amewatoa hofu wananchi wa wilaya hiyo kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuwataka wasiogope kusalimiana kwa mikono kama ilivyo...
Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu.
Akizungumza leo Jumatano Februari 10...
Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Februari 10,2021 Bungeni Jijini Dodoma.
Mhesh Esther Matiko ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chadema na kabla ya hapo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime...
Napenda wakuu wote wa mikoa 25 waige mfano wa wakuu wa mkoa Abdallah Kunenge na Anna Mghwira, hakika wakuu hawa wa mkoa wameonyesha jinsi mtu ambae ameelimika anavyotakiwa awe. Abdallah Kunenge ni...
Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona
1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.
Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli...
Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.
Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi.
===
Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Kipanga Juma Omary amesema serikali iliazimia kutoa Elimu bila malipo ambayo ni elimu bure kwa elimu msingi, darasa la kwanza hadi kidato cha nne...
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni...
Paranoia ni nini? Angalia jinsi dictionary moja ilivyoeleza maana yake;
Paranoia: hali/ugonjwa wa akili unaomfanya mtu awe na hofu isiyo ya kweli ya kusulubiwa na watu wengine. Humfanya mtu awe...
Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.
Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema wabunge vijana wanashindwa kulisaidia Taifa kwa kuwa michango yao bungeni haina tija na haiwezi kuwapeleka mbele Watanzania.
Ameeleza hayo...
Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni...
Wasomi wetu watia aibu sana. Prof. Bisanda, Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT) anahojiwa na BBC ni kwa nini ameamua kuwataka wanafunzi wake wabakie nyumbani kusoma kwa mtandao?
"Hilo haliwahusu...
WALIOKUWA watumishi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na wenzao watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo kuharibu noti 460,000 za 10...
Amepoteza uhai akipata matibabu Jijini Dodoma alfajiri ya leo.
Akifundisha Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa miaka mingi kabla ya kuhamia Iringa kwenye Chuo Kikuu cha Ruaha
Profesa wa Chuo...
Vyombo mbali mbali vya habari vya ndani na nje ya nchi vimekuwa vikifuatilia kwa ukaribu michangi ya baadhi ya wabunge wa CCM wale wenye mtazamo angalau wenye utu na huruma.
Kuhusu namna TRA...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga ameomba Serikali kuangalia upya suala la kampuni za simu kupandisha vifurushi vya intaneti bila taarifa
Amefafanua kuwa, "Natambua Tafiti zinaonesha Tanzania...
Huwezi kuwa Rais wa nchi kupitia chama cha siasa halafu ukawaahidi wananchi (wote) kupumzika endapo tu watajiunga na chama chako. Sio tu ni dharau kubwa kwa wananchi bali pia ni ishara ya...