Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano.
Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi.
Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa tumaini na nguzo imara ya Taifa letu kupitia sera, falsafa na dira inayoweka mbele maslahi ya Watanzania.
Kwa miaka mingi, CCM imebeba dhamana ya...
Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa...
Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako.
Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi .
Msigwa una uwezo, sitaki...
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea...
Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani.
Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu.
Unakuta taka zina nailoni mbali mbali...
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga...
Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba lile zuio feki la Mahakama la kuzuia Chadema kufanya shughuli za kisiasa limemalizika rasmi.
Mwanzilishi wa Zuio Hilo ni Mzanzibar Said Issah Mohamed...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote...
Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu...
MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Lazima Sote kwa Pamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu ,Dini zetu ,Makabila Yetu ,ukanda ,jinsia zetu ni lazima tukubali Ukweli wa Kuwa Rais Samia Uongozi wa Rais...
Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya.
"Ningekuwepo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Yaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea mauaji aliyoyafanya au akiongelea harakati za wanaharakati, anazidi kuthibitisha ushiriki wake katika kutenda maovu.
Wiki kadhaa...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza amesema barua waliyoiandikia CHADEMA imemaanisha kuwasimamisha kwa muda (suspension) au kuwatoza faini endapo watawakuta na hatia kulingana na...
Balozi Maulidah Hassan, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman, leo amewasilisha nakala za Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa Sayyid Badr bin Hamad Al Busaidi, Waziri wa Mambo...