Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,321
- 138,301
Yaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea mauaji aliyoyafanya au akiongelea harakati za wanaharakati, anazidi kuthibitisha ushiriki wake katika kutenda maovu.
Wiki kadhaa zilizopita akiwa anaongea akiwa na Rais wa Kenya, alimtaka Rais huyo wa Kenya awashughulikie wanaharakati wa Afrika Mashariki wataovuka mipaka kuingia Kenya na kufanya shughuli zao.
Samia alinukuliwa akisema kuhusu hao wanaharakati kwamba “wakija kwangu nachapa mikwaju na wakija kwako chapa mikwaju”
View: https://youtube.com/shorts/xXujOXu1hRk?si=TFVeDOTI8NoBTKq5
Juzi wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemuwekea kikwazo mmoja wa ‘wachapaji mikwaju’ wake, huyo fala aitwaye Faustina [this is on purpose 😉] Mafwele.
Pia huyo Samia alishahalalisha mauaji aliyoyafanya kwa kudai kuwa nguvu aliyotumia kuwaua Watanzania, ilikuwa ni nguvu stahili.
Vile vile aliwalaumu wazazi wa watoto aliowaua kuwa kwa nini hao wazazi waliwaachia watoto wao waingie barabarani na kuuliwa.
Huyu Samia ni mshitakiwa mtarajiwa ambaye anaendelea kuirahisisha kazi ya waendesha mashitaka pindi watakapomweka kizimbani.
Hajui nini cha kuongea wakati gani, sehemu gani, mbele ya akina nani….na kadhalika.
Yeye kazi yake ni kuropoka tu bila hata kupima maneno yake.
Itakuwa raha sana kumwona akiwa kiizimbani akijiuma uma kwa hizo kauli zake.
Bure kabisa!