Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akijibu hoja za Mh.Jesca Kishoa bungeni kuhusiana na uwekaji wazi wa mikataba alitolea mfano nchi ya Chad kama ni " failed state" (sijuii tafsiri yake kwa kiswahili) ndani ya Bunge . Sasa naomba...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana...
16 Reactions
250 Replies
15K Views
Leo Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Hamis Kigwangala ameonesha uzalendo na ujasiri mkubwa kwa kuamua kuonesha umma wa Tanzania na dunia jinsi Waziri wa zamani wa wizara hiyo Bwana Lazaro...
13 Reactions
132 Replies
14K Views
"SIASA HAINA ADUI WALA RAFIKI WA KUDUMU". "SIASA HAINA MWENYEWE" Mbunge wa Singida Kaskazini, Mh Lazaro Nyarandu amekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii kipindi cha awamu ya nne ya Mh...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni. Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na...
8 Reactions
79 Replies
8K Views
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana...
1 Reactions
474 Replies
59K Views
Ndugu zangu, Ndg.Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM aneitangazia dunia kuhusu kuwapo kwa Mkutano Mkuu maalum wa CCM. Ameenda mbali kwa kusema kuwa viongozi wa vyama...
4 Reactions
95 Replies
6K Views
Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna wakati bunge liko live kuna wakati liko off hapohapo linapokua off wa Bunge wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao ya kijamii maana yake wanapenda live, Hoja inatolewa live wakati wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetafakari kwa umakini sana kauli za Hayati Rais Magufuli kuhusu maisha yake, mara nyingi alisikika akisema kuwa 1. Niombeeni Watanzania. 2. Ni ni Rais wa wanyonge nimesacrifice maisha yangu...
8 Reactions
118 Replies
15K Views
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia. Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote...
18 Reactions
290 Replies
27K Views
Wakuu nimekuwa nikimfuatilia Zitto kwa muda sasa,sasa hivi nimesikia anashiriki Uchaguzi Muhambwe wakati juzi alikuwa amesaini makubaliano na Chadema ya kupinga matokeo na kupigania Tume huru...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Tanzania! Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora...
1 Reactions
2 Replies
807 Views
Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja. Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba...
-1 Reactions
38 Replies
3K Views
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Unapolipa bili ya maji, kwa uelewa wangu risiti inatakiwa ioneshe taarifa muhimu kama akaunti ya bili yako ya maji, kiasi ulicholipa, kodi iliyokatwa ya serikali, control number kuonesha uhakika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtangulizi wake katika wizara hiyo Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria wakati anafuta umiliki wa kitalu cha Lake Natron. Dkt. Ndumbaro...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma...
6 Reactions
163 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…