Moja ya matatizo ya serikali yetu ni kutokufuatilia kwa makini utendaji wa watumishi wa umma na inapofikia watumishi wakijipanga kwenye vikundi vyenye nia ovu na vinavyojiamini basi ofisi za umma...
Lengo kuu ni Chadema ijibu mapigo ili wapate kisingizio cha kuzuia Mikutano ya Mbowe inayoendelea .
======
Hai. Mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema) mkoani Kilimanjaro, Freeman Mbowe uliokuwa...
Rais wangu, maelezo haya hayakusudii kukushawishi kuharibu utawala wa sheria wala kuingilia shughuli za Mahakama. Hayakusudii kukwamisha uchunguzi uliobakia, unaondelea isipokuwa kuweka kumbukumbu...
Mbunge wa Biharamulo, Ezra Chilewesa akiwa Bungeni ametambua juhudi za Hayati Magufuli kwenye jimbo lake kwa kuhakikisha anawatoa kwenye pori la Burigi ambalo lilitumika kwenye utekaji na...
Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na...
Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno...
Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali
Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango...
Kuna mambo ambayo wana CCM wenzangu hawataki kabisa kuyasoma wakiogopa pengine kwa kudhani kuwa yatakigawa chama ima yatachochea chuki baina yetu.
Waswahili wanasema, unafuga chatu mwisho wa siku...
At primary school I had won, several times, academic prizes in a number of ward as well as district academic challenges. My mother always told me that ‘you are just like your father; he was...
Kuomba msamaha sio ushamba hata kidogo, Ole Sabaya angeenda Clouds FM kuomba msamaha na kutubu angesamehewa na wananchi kwa uchafu na ujinga alioufanya huku akilindwa na mfalme niliyempigania...
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda amesema kufikia mwaka 2025/26 Makao Makuu ya Wilaya zote yatakuwa na Mahakama za Kisasa ili kutoa huduma kwa wananchi.
Amesema hayo baada ya mbunge...
Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa...
Nipo kibaruani mchana wa leo (nimerudi kazini awamu ya sita baada kama nilivyohaidi), nimempokea mama na kichanga chake ambaye amejifungulia kazini kwenye kiwanda cha Mchina (sehemu sitaitaja)...
Kama tupo serious kwamba tumeanza kuamini hakuna aliye juu ya sheria na kwamba Taifa ni muhimu kuliko matamanio binafsi ya viongozi wa chama tawala Basi wafuatao wahojiwe;
1. Paul Makonda - Tukio...
ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, alifikishwa mahakamani jana. Ni matokeo ya tuhuma zinazomuandama kwa muda mrefu sasa.
Yameshasemwa na yanaendelea kusemwa mengi. Hisia ni...
Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa...