Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Matokeo ya Tume hii ya Uchunguzi yatasaidia hata mjadala mpana wa kuridhiana, kwa sababu kuridhiana ni mchakato na ni hatua kwa hatua kuna mambo tunaridhiana kwa sasa kuna mambo yanasubiri...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
4 Reactions
37 Replies
957 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hatuna Budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa katika Ujenzi wa Taifa letu. Ni lazima tukumbuke Maneno ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyotumbia kuwa Hatuna...
-2 Reactions
28 Replies
569 Views
Wakuu, Tupate mawaidha kutoka kwa Sheikh Pemba akirejea hotuba ya Rais Samia katika Mkutano na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyia Desemba 2, 2025 alipozungumzia Tanzania kama Sovereign...
5 Reactions
36 Replies
869 Views
Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee. Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee. Kipi hasa utishe watu...
8 Reactions
32 Replies
823 Views
Polisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa...
7 Reactions
21 Replies
853 Views
Habari ya Sabato! 1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9. 2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira linalojengwa katika Mji wa...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na: 1...
10 Reactions
17 Replies
885 Views
Maana kama ataendelea kuishi Zanzibar I'm 100% atakua targeted. Samia kwa maumivu aliyowasababishia watanganyika hata kama atakua ametoka Madarakan watakua bado wanamsaka.
6 Reactions
35 Replies
905 Views
GTs, Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi...
12 Reactions
20 Replies
887 Views
Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025...
47 Reactions
133 Replies
5K Views
Kutuchamba kwote kule hadi kushika kiuno ndio matumaini yenyewe nini bwana Tibwa? ============== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimesema Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa...
1 Reactions
7 Replies
249 Views
Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu. Mshaurini ukweli na utawaweka huru! Nyote watatu semeni Amen.
8 Reactions
16 Replies
581 Views
Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao...
1 Reactions
2 Replies
173 Views
Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi! Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula...
7 Reactions
7 Replies
262 Views
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za...
10 Reactions
85 Replies
3K Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema Serikali ya Tanzania ina wajibu na nafasi ya kikatiba kulinda maisha ya wananchi wake na mali zao, hasa wakati wa matukio yenye viashiria...
0 Reactions
3 Replies
245 Views
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
4 Reactions
25 Replies
803 Views
Mhe. Diwani wa Kata ya Mwendakulima ambaye pia naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Ndugu SHABAN MIKONGOTI amefanya uteuzi wa wasaidizi (2) watakao hudumu katika ofisi yake kama ifuatavyo: i. Ndugu...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Back
Top Bottom