Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
TANZANIA, QATAR ZATIA SAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI. Na Benny Mwaipaja, DOHA QATAR TANZANIA na Qatar, leo tarehe 29 Septemba, 2026, zimetia saini Mkataba wa Kuepusha utozaji...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Katika ulimwengu wa habari, sheria, na uchambuzi wa kina nchini Tanzania, jina la Jenerali Ulimwengu halihitaji utambulisho. Ni gwiji na sauti ya hekima inayotazama mambo kwa jicho la mbali sana...
1 Reactions
3 Replies
232 Views
Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu. Katika...
1 Reactions
0 Replies
42 Views
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi...
43 Reactions
78 Replies
2K Views
Kwa kuwa Samia Scholarship ni mpango unaotekelezwa kwa fedha na taasisi za umma, wananchi wana maslahi ya kujua fedha zinatolewaje, nani anafaidika, kwa vigezo gani, na kama uteuzi unaweza...
9 Reactions
41 Replies
572 Views
Kama tu maneno yake tu mpaka leo mnasema ndo yalisababisha vurugu za October 29. Je kumnyonga si ndo itakua balaah huyo mzee mwachieni aende zake .
11 Reactions
40 Replies
446 Views
kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya...
0 Reactions
2 Replies
88 Views
Huyu buana na anaetumia akaunti Gavana Bilah na Kigogo hawa watu wanaweza kujua mambo mengi sana siku tukijua count za hawa watu kuna Mengi wanajua.
2 Reactions
3 Replies
198 Views
Kuna haja ya vyombo vyetu kama Jeshi la Police lote na Usalama barabarani kazi yao itoke kwenye kukamata kupiga faini wangejikita zaidi kwenye kutoa Elimu kama Elimu ya Usalama barabarani mpaka...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Nimeona mitandaoni viongozi wa kiafrica wanao hudhuria mkutano huko New York Marekani wote wanatembezwa umbali mrefu mpaka kufika kwenye ukumbi wa mikutano,na pia hata ulinzi ni kama hawana tu,na...
13 Reactions
87 Replies
2K Views
Mwanasheria na Wakili nguli Mheshimiwa Tundu Lissu aliwahikusema, siku madereva wakipaki magari yao yote watapati haki. Leo imetimia
1 Reactions
6 Replies
136 Views
Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini...
2 Reactions
1 Replies
60 Views
Ofisa wa TRA Anastahili Kupandishwa Cheo kwa Ujasiri na Uaminifu Wake Katika tukio la hivi karibuni lililorekodiwa na kuenezwa sana mitandaoni, maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
4 Reactions
21 Replies
728 Views
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma...
0 Reactions
8 Replies
100 Views
Ukienda pangani ni moja ya sehemu zenye fukwe nzuri sana white sand beach but tatizo lilopo Pangani hakuna uwekezaji pako local sana Pangani pakiwekezwa na pakijengwa mfano wa goldcoast...
5 Reactions
18 Replies
183 Views
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo: “Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo...
8 Reactions
22 Replies
420 Views
Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya...
4 Reactions
22 Replies
236 Views
Hii ni sehemu ya maneno ya mwisho mwisho katika final submission ya Lissu mbele ya Mahakama leo hii tarehe 28/09/2026: "Nimepigania haki na demokrasia katika nchi hii kwa sehemu kubwa ya maisha...
48 Reactions
66 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…