Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea...
UZALENDO SI NINI?
Leo 5/2 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa chama tawala cha CCM. Kina rekodi nchini na barani Afrika lakini kubwa, ndicho chama kilichoasisi na kuhubiri UZALENDO katika taifa...
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo...
Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari...
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri
Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho...
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji...
Wakuu,
Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report)...
Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa...
Yupo Naibu waziri Mmoja anatembea sana KUKAGUA miradi ya Maendeleo anatokea tamisemi anakauli yake utasikia.
Kwa niaba ya Mh Rais, na kwa niaba ya waziri wa tamisemi anamtaja kwa cheo kwanza hapo...
Wakuu,
Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za...
Mimi sifi Leo SI muumini wa majungu kamwe,
Mh Nanauka Joel ni mwanasiasa mzuri sana aliyetengenezwa na mfumo kinzani wa ccm ambao unasuffer sana katika TAIFA la Tanzania.
Yaani ni mfumo pekee...
Habari Tanzania !
Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama...
Hakuna maumivu makubwa zaidi kuliko kumpoteza mpendwa baada ya wiki au miezi kadhaa hospitalini, ukiendelea kuishi kwa tumaini dhaifu, halafu kifo kinakuja mwishoni mwa kipindi hicho kirefu cha...
Ukiwasikia wabongo wamemkataa huyu Mama Kizimkazi ndio hii yani mtu yeyote atakayemuunga mkono basi raia watamvaaa vibaya kama haliyokutana nayo Tyrese.
Na wabongo wanatupa maneno ya kiswahili...
Tabia ya Jeshi la polisi kukana kumshikilia mtu hadi watu wapige kelele au watishie kugoma au kuandamana ni Utekaji.
Sheria inataka unapo mkamata mtu, moja ya haki yake ya msingi ni kuwasiliana...
Wakati wa awamu ya Kikwete nakumbuka kuna wazo lilikuwa linafanyiwa kazi la kuanzishwa kwa Tanzania's Sovereign Wealth Fund ili mapato mbalimbali ya serikali, hasa kutoka kwenye sekta za mafuta na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Dr. Vernon Fernandes, akiwa Madhabahuni mbele ya Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, amesema mara kadhaa kuwa Kanisa la...