Mh Rais tuundie TUME HURU itakayochunguza uhalali wa nyaraka za baadhi ya wabunge.
Kodi zetu zinawalipa wa bunge feki,kama vipi basi turudishe kodi ya kuku na mbwa ili kupanua wigo wa kodi...
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing...
Watu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi...
Sioni sababu ya kuwa na wabunge 393 ktk nchi maskini kama hii. Halafu tija yao mm binafsi siioni kabisa japo ni wengi kiasi hicho.
Kwann tusiwe na mbunge mmoja tu toka kila mkoa? Huyu awe...
Kuepuka gharama, rushwa na mlolongo mrefu wa majukumu.
Napendekeza hivi:
Diwani awe na elimu ya chuo,
Mbunge atokane na madiwani,
Mkiti/Meya wa jiji/halmashauri/Mji/Manispaa
Wawe mbadala wa...
Jana nimepita moroco na Kigamboni magorofa ya hifadhi ya jamii yaliyokuwa yametelekezwa yote yameanza kuendelezwa kwa Kigamboni nimeona wanafyeka majani maana kule hata nyoka walishaanza kufanya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu ameahidi kufanya mabadiliko makubwa kwa watendaji wa mamlaka za serikali za mitaa kutokana na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo...
Tunataka kumuuliza maswali, tunataka naye ajaribu maisha ya mitaani tunataka ajisikie kama mwalimu anayelipwa laki tatu tunataka kusikia tuu sauti yake yake kwa mara ya pili.
Je, alikosea au...
Nakumbuka kipindi anaingia madarakani kabla hajateua baraza la mawaziri mkuu alikuwa anakubalika sana hasa zile safari za kushitukiza kama Muhimbili, TRA na Bandari. Matumaini mapya kwa huyu...
Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za...
Wana Jukwaa nguli,
Gari limeshindwa kuvuka mto kwenda kanaani baada ya daraja kukatika kwa maji ya mvua iliyonyesha ghafla. Dereva anageuza gari kurejea Misri ambako uhuru na starehe zote zipo...
Wana Jukwaa nguli,
Gari limeshindwa kuvuka mto kwenda kanaani baada ya daraja kukatika kwa maji ya mvua iliyonyesha ghafla. Dereva anageuza gari kurejea Misri ambako uhuru na starehe zote zipo...
Mwl. Nyerere alishawahi kusema, "dhambi ya ubaguzi haifi, inaendelea. Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda inaendelea, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu utaendelea tu.".
Kila siku...
Tuna Wabunge 413 kwa taarifa za leo June 22/2021.
Ili kuondoa utata wa kodi ya uzalendo kwenye simu na LUKU napendekeza Kodi ya Uzalendo kwa Wabunge Tsh. 1,000,000 kila mwezi wakatwe.
Wananchi...
Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali...
Habari wadau,
Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa.
Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa...
Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto.
Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo...
Mh. Waziri Ummy Mwalimu. Pamoja na jitihada zako za kupambana na tamisemi, ni vema sasa ukapunguza idadi ya idara zilizopo ndani ya Halmashauri na kuongeza vitengo zaidi ilu kupunguza matumizi na...
Dodoma.
Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri Bungeni mjini Dodoma kuwa walishindwa kufufua viwanda.
Charles Mwijage ambaye ni mbunge wa Muleba Kaskazini...