Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka. Sasa...
5 Reactions
11 Replies
447 Views
Wakuu, Haya ndugu zangu huyu shahidi yeye anasema CHADEMA ni IMANI kwa hiyo hana kitambulisho wala kielelezo chochote kuwa yeye ni mwanachama Hivi wameshindwa hata kutengeneza kitambulisho...
2 Reactions
6 Replies
392 Views
Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa...
16 Reactions
22 Replies
1K Views
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza...
56 Reactions
132 Replies
5K Views
Kutoka X by MD 1. Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April 2. Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo. 3. Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi 4. Mashahidi wote...
11 Reactions
18 Replies
413 Views
Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi?? Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Naangalia mahakama inavyofanya kazi zake, maamuzi zake, upindishaji wa sheria, uvunjaji wa katika wa wazi kabisa Naangalia jeshi linalopaswa kuilinda katiba kufa kupona. Naangalia lilivyolinda...
4 Reactions
8 Replies
248 Views
Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
4 Reactions
5 Replies
299 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Amefanyika Baraka na Neema katika Maisha ya watanzania. Amekuwa nuru na Mwanga katika Maisha ya Watu. Sijapata kuona Watanzania wakijenga Nyumba na...
1 Reactions
32 Replies
491 Views
Kama wamepewa maagizo, itabidi waandike wakubwa wanavyotaka ambayo itakuwa ni " maafa" kwa professionalism yao. Wafanyeje waepuke kadhia hii? Maana hakuna ushahidi, pale ni ujinga wa watu kula...
4 Reactions
10 Replies
271 Views
Wakuu, Huyu shahidi anasema mara tu baada ya kuangalia video ya Jambo TV kuhusu kauli ya Lisu kuwa atakinukisha, alifuatwa na Polisi na kukamatwa na kisha akapelekwa kwa RCO ambapo alipewa kosa...
1 Reactions
6 Replies
510 Views
Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu! Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie...
2 Reactions
0 Replies
202 Views
Nchi kama Zambia, Malawi , Kenya, Botswana zimeona mbali sisi tumebaki na wizi wa kura na uchawa. Tupiganie nchi yetu Huyu ni Wakili wa Rais Duma Boko amewasili katika Hotuba ya Bajeti ya mwaka...
5 Reactions
38 Replies
653 Views
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile (Mb), amesema ameridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya inayoendelea mkoani Kigoma, akibainisha kuwa uwekezaji huo una lengo...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani...
11 Reactions
28 Replies
866 Views
Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru. Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku...
3 Reactions
7 Replies
287 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na Rais Mstaafu wa 44 wa Taifa la Marekani kwa pamoja Wamlilia na wamesikitishwa kufuatia au kutokana na Kifo cha Jesse...
2 Reactions
76 Replies
1K Views
Nashauri atakae patikana na hatia ya uhaini ni vyema akahukumiwa na akanyongwa haraka na mapema iwezekanavyo ili iwe fundisho kwa wenye tabia za kihuni kama hizo na kuimarisha utamaduni wa nidhamu...
2 Reactions
46 Replies
603 Views
Wakuu, Nakumbuka baada ya School Of Journalism and Mass Communication pale UDSM kupata dean mpya mwaka 2023 kama sio 2024 moja ya vitu vya kwanza ambavyo yule mama mpya alifanya ni kubadilisha...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…