Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Awamu ya 5 iliumiza wengi kuanzia kwenye demokrasia, haki mpaka kwenye uchumi. Waliokuwa na uwezo, na mitaji mizuri, baadhi waliamua kuondoka kabisa na kufunga biashara zao Tanzania. Wapo...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011. Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa...
75 Reactions
167 Replies
14K Views
Wananchi hatupingi kuchangia shughuli za maendeleo kwaajili ya ustawi wa Taifa letu, lakini uchangiaji huo uwe unazingatia uhalisia wa maisha ya watanzania. Wananchi tutambue kuwa hatuna wa...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Huduma za afya Dr Subi ametoa ufafanuzi kuhusu fomu ya ridhaa ya chanjo ya civid 19 Dr Subi amesema wanaotaka kuchanjwa watajaza fomu maalumu ya hiyari ya kutaka kuchanjwa na huo ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Makato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili? Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa...
19 Reactions
92 Replies
9K Views
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naona makampuni ya simu yanaandika makato ya kampuni na kuyatenganisha na tozo ya Setikali lengo ikiwa ni kuonesha makato yameongezwa na tozo ya serikali. Sasa tujiulize je haya makato ya sh lets...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya mchana! Nimewaza sana sana leo, toka upinzani wa kweli uanze katika historia ya nchi yetu, ni wazi kuwa kuna kundi la watu ambao wameunda chama despite of their weakness lakini wamekuwa...
49 Reactions
113 Replies
9K Views
Hospitali nyingi karibia zote Tanzania zinaongozwa na waganga au Madaktari. Kuna cheo kinaitwa Mganga mfawidhi. Lakini kwa jinsi mfumo wa uendeshaji ulivyo badirika kwa miaka ya sasa mtu kuwa...
34 Reactions
219 Replies
22K Views
Mh Waziri, Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund.. Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za...
14 Reactions
130 Replies
11K Views
Hii nchi haina uongozi aiseee Tumepigwa Mama anaupiga mwingii ===== Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
"Zao la korosho pekee linatutosha sana watu wa kusini kuondosha umasikini lakini chama tawala hawataki watu wa Kusini tuondokane na umasikini. Sasa dawa yao ni kuwaondosha madarakani" Isihaka...
0 Reactions
3 Replies
653 Views
Hii ni serikali iliyoongoza miaka 60. Baada ya miaka 60 ndio inakumbuka kujenga madarasa na zahanati kwa kunyanganya kidogo walichonacho. Lakini ikiaminisha watu kwamba nchi ni tajiri na ina...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ingekuwa Watanzania wote wapo jamiiforum kwakweli leo watu wangepata maumivu makali maana thread zote watu wamehuzunishwa Sana na jinsi serikali yao inavyowaminya Bila huruma watu wake na kufanya...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimesikia baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali wakisema kuwa Watanzania wanasubiri chanjo ili nao waungane na dunia katika mapambano dhidi ya Corona, Leo ningependa kujua hao Watanzania...
5 Reactions
88 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza, naamini hatuna Bunge la wananchi. Wabunge waliopo Bungeni, 75% huko CCM hawakuchaguliwa na wajumbe kwenye kura za maoni. Waliochaguliwa walipigwa chini, waliotakiwa na...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Vilio vinasikika kila pande za nchi sijui mwenzangu unalia ukiwa wapi? Wakati ukilia na uchungu mwingi moyoni mwako ukumbuke kuelekeza machungu yako yote kudai katiba mpya!!Kwa katiba ile ya...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Baada ya uchaguzi wa mwaka jana vumbi kubwa lililobaki ni hili la kuhusu wabunge 19 ambao Chama chao hakiwatambua. Siku za mwanzo za sakata hili spika Ndugai alirudia mara kwa mara kuwa atawalinda...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Katiba inasema Bunge ni uwakilishi wa wananchi. Bunge ndiyo sauti ya wananchi, Bunge ndiyo kisemeo cha Wananchi. Mbali ya upatikanaji wa kimagumashi wa bunge la sasa, lakini wao wenyewe...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…